Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,111
- 17,577
Yaliyopo humu ni mitazamo ya watu binafsi, haiwez ku justify chochote.Jitahidi kusoma tangu mwanzo wa mada hii, utapata kujua hata yale ambayo ulikuwa huyajui kuhusu uraia wa Tanzania. Hii habari ya kuanza kutumia maneno ya kilugha haitakusaidia zaidi ya kukuumbua tu.
Mnazidi kumpoteza mfalme wenu