Jana tarehe 14/11/2024 wakati wananchi mbalimbali wakiuaga mwili wa marehemu Lawrence Mafuru katika viwanja vya Karimjee. Askofu Mkuu wa Kanisa la Wasabato alitoa mahubiri mazito sana, moyo wangu unatamani sana kila mmoja ayasikilize pia natamani sana kila kiongozi aliye pewa dhamana haswa Serikalini wasililize mahubiri Yale na wayaishi katika maisha yao yote.
Naamini viongozi wate waliokuwepo pale kama watakuwa wasikivu basi watabadilika na kuishi maisha yanayo mpendeza Mungu.
Pongezi nyingi sana ziende kwake askofu mkuu kwa mafundisho mazito....haijalishi uko dhahebu gani au dini gani ametoa dawa inayotibu kila mtu.
Asante.