Nduka
JF-Expert Member
- Dec 3, 2008
- 8,553
- 2,374
Dini gani? Gwajima ni muhuni tu kama walivyo wahuni wengine.Wanaacha kutafuta majambazi yanayoua watu wanahangaika na viongozi wa dini
Dini gani? Gwajima ni muhuni tu kama walivyo wahuni wengine.Wanaacha kutafuta majambazi yanayoua watu wanahangaika na viongozi wa dini
Hacha bwanaMbona wengine wanakamatwa? Hacha akamatwe, kwani yeye ni nani asikamatwe
chuki binafsi tu mwache askofu ahubiri injiiHuyu jamaa waumini wake utasema extremes wa isis, sipendi sana watu wanao~take advantage ya imani ya watu kufanya mambo yao binafsi, huyu jamaa kanisani kwake ndo sehemu ya kufanyia siasa, very stupid, japo anapiga sana hela za wajinga.
Tulia weweWanaacha kutafuta majambazi yanayoua watu wanahangaika na viongozi wa dini
Polisi wanatafuta kazi ya kufanya na kujipendekeza kwa raid.Gwajima ni public figure siyo wa kutafutwa bali kuitwa kituo cha polisi
Mkuu unataka wajikamate wenyewe kwa wenyewe?Wanaacha kutafuta majambazi yanayoua watu wanahangaika na viongozi wa dini
Huyu jamaa waumini wake utasema extremes wa isis, sipendi sana watu wanao~take advantage ya imani ya watu kufanya mambo yao binafsi, huyu jamaa kanisani kwake ndo sehemu ya kufanyia siasa, very stupid, japo anapiga sana hela za wajinga.
Mkuu mbona unaudanganya una wa watanzania? Na kwann unafanya hivyo?Leo mchana askofu Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima amekamatwa Airport wakati akitua toka Nje ya nchi alikoenda kwa matibabu.
Duru za habari zinanyetisha kuwa Askofu Gwajima alishuka na ndege ya Kenya Airways iliyokuwa inatoka Nairobi kuja Dar ambapo baada ya kushuka alitaka kuunganisha na chopa yake kuingia mjini kupitia Sea Cliff.
Mpaka sasa Askofu yupo chini ya ulinzi na wafuasi wake na wasaidizi wake wamethibitisha kuwa walikuwa na taarifa za kuja kwa Askofu wao leo na ndege ya Kenya Airways lakini hawajamuona,na habari walizozipata ni kuwa mara baada ya kushuka vyomba vya Usalama vilimkamata sbb walikuwa wakimtafuta kwa muda mrefu.
Waumini wake na wasaidizi wake wanaendelea kufuatilia kujuwa kiongozi wao anashikiliwa katika kituo kipi cha polisi.Hizi habari zimezua "taharuki" hapa Ubungo kanisani kwake na waumini wapo katika makundimakundi kujadili hatima ya Askofu wao
More News to come..!