Askofu Gwajima asema yeye na Abbas Tarimba ni mapacha, amkaribisha kanisani kwake na kumpigia kampeni

Mchungaji wa Kanisa la ufufuo na uzima Dkt. Gwajima amesema yeye na mgombea ubunge wa jimbo la Kinondoni ni mapacha.

Gwajima amesema hayo leo alipomkaribisha Abbas Tarimba Kanisani kwake na kumtambulisha kwa waumini wake ambao walimshangilia kwa nderemo na vigelegele.

Mchungaji Gwajima amesema yeye na Abbas Tarimba wameletwa na Mungu kuwatumikia wananchi wa Tanzania.

Chanzo: Eatv

My take: Mnaosema Gwajima ana chuki na waislamu soma hiyo!

Maendeleo hayana vyama.
akili yako imeazimwa ila ipo sku itarudi. Kwa kukusaidia hii n mbinu ya kujsafisha acha ukasuku
 
Watu wanaangalia utendaji..kama kashfa ingekuwa kigezo cha kutokubalika basi kanisa la gwajima leo hii lingekuwa na waumini wasiopungua hamsini.

Hiyo habari ya kashfa zinaenda zaidi mitandaoni na si kila mtu yupo bize na mitandao..kama ni kashfa hata halima ana kashfa za muda mrefu tu za kusagana. Na hata bungeni alishawahi kutuhumiwa na wabunge wenzie na bawacha wanajua hiyo skendo..
Asee kama una video za gwajiboy nitumie nione uo utendaji unaosema
 
Gwajima aje atwambie alifikiria nini kuwatukana waislamu.

Atwambie yule gogo alimtoa wapi kwenye ile video yake ya ngono.

Ni kichaa tu atamchagua mtu kama gwajima.
Acha basi na wewe kukuza mambo, nani ambaye ni mzima hua HANYANDUANI nje?, Anyoshe mkono hapa
 
Talimba naye atageuza misikiti kuwa sunday school na kucheza sinema pendwa za utupu za Gwajina na waumini wake?
 
Uliisha muona abasi tarimba anaenda msikitini? Uliisha muona abasi tarimba anasali?abasi tarimba anapingana na uislamu kuwa bahati nasibu na kubeti ni haramu mbele ya allah abasi tarimba ndio kiongozi wa bahati nasibu na kubeti
 
Samahani kwan ndugu zangu waisilamu hamna anayebet?
Kwa kifupi kuna najisi na udhu... kuna uchafu na usafi UISLAMU UNASIMAMA KATIKA MATENDO MEMA NA UNATENGUKA KWA MAKATAZO YAKE. Mwislamu huwezi kumkuta akibet, au kuishiriki rushwa, au kula riba, kula haramu yoyote ile ama kushiriki katika mambo ovu.
 
Pale mcheza filamu za ngono anaposhauriana na guru la kubetisha unategemea mini hapo mkuu?

Dini inapinga kubeti na uzinzi lakn mmoja n askofu katoa had filamu kaona haitoshi kamualika mbetishaji madhabahuni

NAWAONEA HURUMA WAUMINI WAKE
 
Ccm wamempa halima mthihani mgumu sana. Nadhani hata usingizi atakua hapati. Gwajima pesa anayo, ushawishi anao na kuongea anajua sana. Halima nilikupenda sana dada yangu kwa siasa.
 
Kwa kifupi kuna najisi na udhu... kuna uchafu na usafi UISLAMU UNASIMAMA KATIKA MATENDO MEMA NA UNATENGUKA KWA MAKATAZO YAKE. Mwislamu huwezi kumkuta akibet, au kuishiriki rushwa, au kula riba, kula haramu yoyote ile ama kushiriki katika mambo ovu.
Bro isemee nafsi yako.... Wanabet vizur tuu huku mtaaani na rushwa wanakula..
 
johnthebaptist Gwajima na Tarimba wote ni wacheza kamari. Wanajuana. Moja anachezea kamari yake kupitia mimbari isiyotakatifu, mwingine anachezea casino kabisa!
 
Ukizingatia kwamba Jimbo la Kawe linajumuisha maeneo Kama vile Msasani, Mikocheni, Ostebay, Makongo, Kunduchi, Wazo, Madale, Bunju, Tegeta, Boko, Mbweni, Mbezi Beach, Ununio na Mabwepande.

Ni sehemu za kishua sana kwa Dar na kuwashawishi hawa wapiga kura unahitaji kuwa smart sana.

Ukiangalia Mdee na Gwajima wapo smart kichwani haswa ukirejea hotuba zao na namna ya kujenga hoja.

Kashfa za Gwajima na uropokaji wake ndiyo kikwazo kwake.

Sasa inategemea na uwezo wake wa kuzifukia hizi kashfa na kusonga mbele kitu ambacho Ni kazi ngumu ikizingatiwa na muda Ni mchache.

Ila kimsingi mechi ya Kawe Ni ngumu
Mimi naamini huo upikaji wa kashfa ndiyo uliomfanya aamue kuingia kwenye Siasa, baada ya kuona kuna watu wameshiba na kuanza kujishau.
 
Dah! 😔 Mzee wetu Abbas Tarimba umeenda kwenye siasa hivi tutapiga na nani picha tukipokea mamilioni yetu na bonus Sportpesa 😅 hakuna ubaya tutakuwa tunakufata huko huko bungeni tunapiga picha unabaki unaendelea kutoa hoja au siyo mazeee🤦🤪🏃
 
Back
Top Bottom