Hivi mtu kuwa mwanaccm kuna akili za kutafakari na kujenga hoja zinapungua? Kwanini? Mleta mada kaleta vizuri lakini vijana wa Lumumba kwa kushindwa kutafakari kwa kutumia akili wameanza kumuattack gwajima personally yeye ni mtanzania na kwa mujibu wa katiba ana uhuru wa kutoa mawazo na kusikilizwa.
Kama unaona hoja yake haina mashiko basi mpinge kwa kutumia hoja ndivyo kijana ambaye ana good manner anatakiwa kuwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.