The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 1,032
- 1,674
MALUMBANO: MJINGA, MWEREVU, na MSHAMBA.
MJINGA: No Reform, No Election.
MWEREVU: Hatuna muda wa kufanya Reforms hizo.
MJINGA: Tutakusaidia kuzuia uchaguzi ili upate muda wa Reforms.
MSHAMBA: Kama una nguvu za kuzuia, zitumie kuzuia wizi wa kura.
MJINGA: We mjinga vipi? Mbona unanukia wizi wa kura au nawe ni mmoja wao?
MWEREVU: We mjinga usihofu, tumebadilisha rangi za wezi. Hizi rangi mpya haziudhi.
MJINGA: Hazihudhi nini? Mbona wajinga wanaenguliwa na kubakiza werevu tu?
MWEREVU: Lakini anayeengua siyo mwizi tena bali washamba waandamizi. Halafu mwerevu anayebaki atapigiwa kura za ndiyo na hapana hata kama HAPANA hana wakala.
Ohh shabash! Tanesco wamekata umeme tena. Tutaendelea umeme ukirudi.
Mweee! Nikistaafu sitakosa kazi. Hata uzushi nauweza japo haulipi. Noah nyeusi inanihusu. Naingia ibada ya pili kuueleza msalaba wetu.