Askofu akemea wizi wa uchaguzi mkuu 2020

tpaul

JF-Expert Member
Feb 3, 2008
23,589
21,667
Bila kumumunya maneno wala kumuogopa mtu yeyote askofu huyu amekemea vikali wizi wa uchaguzi uliofanywa na mwendazake mwaka 2020. Hebu msikilize anavyopiga nyundo laivu bila chenga 👇

MAONI YANGU
Wizi huu wa kipumbavu ndio umesababisha mchi imepata laana kwa kukosa mvua na umeme kila mahali. Namshauri mama Samia atubu hadharani na kuomba msamaha kwa Allah kwa niaba ya mwendazake ili nchi ipate kupona.

Nawasilisha.
 
Tatizo hapo viongozi wa CCM na serikali yao wanamuona ni mwehu tu na hakuna cho chote watakachokizingatia. Sana sana watabuni mbinu zingine za kuiba kura na kujitangazia ushindi wa kishindo!
 
Bila kumumunya maneno wala kumuogopa mtu yeyote askofu huyu amekemea vikali wizi wa uchaguzi uliofanywa na mwendazake mwaka 2020. Hebu msikilize anavyopiga nyundo laivu bila chenga
View attachment 2402032

MAONI YANGU
Wizi huu wa kipumbavu ndio umesababisha mchi imepata laana kwa kukosa mvua na umeme kila mahali. Namshauri mama Samia atubu hadharani na kuomba msamaha kwa Allah kwa niaba ya mwendazake ili nchi ipate kupona.

Nawasilisha.
Muambie ya Mungu ampe Mungu na ya Kaisari ampe Kaisari. Ina maana amepitwa na somo la mamlaka yoyote hutoka kwa Mungu?

Kwa akili hata za mtoto wa chekechea anaamini Tundulisu alishinda uchaguzi?. Hawa maaskofu wa mataifa bwana.
 
Bila kumumunya maneno wala kumuogopa mtu yeyote askofu huyu amekemea vikali wizi wa uchaguzi uliofanywa na mwendazake mwaka 2020. Hebu msikilize anavyopiga nyundo laivu bila chenga 👇
View attachment 2402032

MAONI YANGU
Wizi huu wa kipumbavu ndio umesababisha mchi imepata laana kwa kukosa mvua na umeme kila mahali. Namshauri mama Samia atubu hadharani na kuomba msamaha kwa Allah kwa niaba ya mwendazake ili nchi ipate kupona.

Nawasilisha.
Kwa hiyo hata rais wa sasa ni tunda la wizi wa kura?
 
Ili kuondokana na mambo kama hayo nashauri tuitishe uchaguzi mkuu mwakani.

Rais avunje bunge tukaanze moja.

Tuharibu miundo mbinu yote aliyoasisi magufuli tujenge yetu fedha zipo za kutosha tutakopa au tutatoa twiga na simba kadhaa tunao wakutosha.
 
Kweli kabisa mkuu lakini nadhani CCM hawatakubali wazo hili kwa kuwa wanaogopa uchaguzi huru ukifanyika wengi wao hawatarejea kwenye nafasi zao.
 
CCM ni ukoo wa panya—babu mwizi, baba mwizi, watoto wezi, wajukuu wezi, vitukuu wezi, vilembwe wezi na vining’ina wezi! Ukoo huu wa panya walikuwa wanasafiri katika boti la muhogo, lakini kwa sababu ya uroho wao, walianza kulitafuna boti! Kilichofuata ni ukoo mzima wa kizazi cha panya kuzama na kuangamia.

CCM wameanza kuitafuna nchi tangu mwaka 1961 lakini ukomo wao wa kutafuna rasilimali za nchi zitafika tamati hivi punde kwani hakuna mtanzania mwenye hamu ya kuongozwa na chama cha kifisadi kama CCM ambacho kimeshindwa kuboresha maisha na ustawi wa watanzania. Wananchi wamechoka kubebeshwa ‘magunia ya misumari’ ya bei ya juu ya chakula, mfumuko wa bei wa kutisha, elimu duni, maisha duni, ufisadi wa kutisha na matatizo lukuki yanayosababishwa na panya (CCM) hawa wasiokuwa na haya! Kizazi kizima cha CCM kinakaribia kuzama na kusahaulika kabisa katika ardhi ya Tanzania.

It’s a matter of time before CCM dynasty comes to an end, and that’s when these unscrupulous rats will apprehend the significance and power of the people. Desolately, CCM have been ignoring and looking down their noses at common Tanzanians for many years. Time has now come when citizens can no longer endure CCM’s tyranny and corrupt rule. Everybody is tired of living like a slave on a land endowed with an assortment of natural wealth which only benefits minority fisadis and a few elites in power while majority Tanzanians lead very miserable lives.

What comes around goes around. Let CCM go to hell for good because they have absolutely failed to uplift the living standards of millions of Tanzanians at the expense of a few fisadis whose gargantuan stomachs never fill up! And no one should be blamed for the hatred and grudge that majority people hold against CCM and their crooked government except fisadis themselves who, horrifically, decided to gnaw the cassava boat by which they were sailing!
 
Muambie ya Mungu ampe Mungu na ya Kaisari ampe Kaisari. Ina maana amepitwa na somo la mamlaka yoyote hutoka kwa Mungu?

Kwa akili hata za mtoto wa chekechea anaamini Tundulisu alishinda uchaguzi?. Hawa maaskofu wa mataifa bwana.
Mkuu kaa chini utulize tako umsikilize askofu kwa makini utaelewa anachosema. Usidandie treni kwa mbele itakupasua msamba.
 
Muambie ya Mungu ampe Mungu na ya Kaisari ampe Kaisari. Ina maana amepitwa na somo la mamlaka yoyote hutoka kwa Mungu?

Kwa akili hata za mtoto wa chekechea anaamini Tundulisu alishinda uchaguzi?. Hawa maaskofu wa mataifa bwana.
Mpumbavu kama wewe huwezi kujua!
 
Mtoa mada bhana 😂 sasa wizi umesababishaje ukosefu wa mvua.? Bc tuseme nchi zenye jangwa zilifanya wizi mkubwa mpaka wakalaaniwa wakapewa ardhi isiyo na rutuba.
 
Back
Top Bottom