donbeny
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 3,587
- 3,183
Hata Mimi nawashangaa, why do you own something which is bigger than you?? Road license ni sh ngapi? Mnajua wazi sasahivi TRA inatutajia monthly collection yake , sasa mnapochelewa kulipa hamuoni mnatucheleweshea maendleo?
TRA hawapo wengi barabarani kama traffic, so tukisema traffic wasihangaike na hili mtu aweza tembea bila r/l hata miaka kumi bila kuilipia. Traffic na TRA wote ni serial na wote wanakusanya mapato kwa ajili ya taifa. Na ningejua huyo mama yuko wapi ningemtandika faini nyingine leo
Very true mkuu,kama mtu hawezi kulipa road licence asinunue gari