wanazidi kupunguza idadi ya wanaume duniani...Askari no.G.4185, PC Geofrey, kabila Mhehe, miaka 32, askari wa kituo kidogo cha polisi Igurubi amejinyonga leo hii trh 26/01/017 muda wa kama saa 21:00 usiku chumbani kwake kwa kutumia shuka lake kwa kulifunga kwenye kenji ya nyumba na kujinyonga nalo mpaka kufa.
Kiini: Wivu wa kimapenzi baada ya kugombana na mpenzi wake aitwae Martha Mussa, miaka 26, kabila Mngoni, mkazi wa Tabora. Kazi yake ni bar medi ktk grocery ya Jeska?
Mbinu: Kujinyonga kwa kutumia shuka. Shuhuda wa kwanza kuona ni askari no.H8442, PC Nassor wa kituo kidogo cha polisi Igurubi, ambaye anaishi nae nyumba moja vyumba tofauti na ilikuwa muda wa saa 21:00 usiku. Tukio bado halijakaguliwa.
Mwisho.
Toka polisi Igurubi.
26/01/017
22:40 usiku.
View attachment 464900
Yaani sijui yote kwa yote ukichunguza kwenye hizi koo wanazotoka waathirika kuna malaana ya mababu maombi ni silaha kwake yeye aaminiyeNa yule aliejinyonga kilimanjaro?
Mbona haukuandike ile ya musoma
Askari mzima unajiua kwasababu ya mapenzi.. Huyu si angeweza kuuza uhuru wa nchi kisa mwanamke?