Asiyekujua hakuibii mke/mme

mara nyingine wanawake wenye waume hawaseme/.wanaficha hizo taarifa ili kufanikisha ubaradhuli wao.akishakumiliki ndio unakuja kuambiwa/kujua na kuacha inakuwa sheedah.hawasemi ukweli.mwanzoni baadhi ya wake za watu.
Kweli mkuu.ndo tabia zao kuficha kama wameolewa ili wachepuke.
 
Back
Top Bottom