Asilimia kubwa ya Mazao nchini yanakauka kutokana na jua kali linaloendelea kuwaka. Je, kwenu mpo salama?

Dalton elijah

JF-Expert Member
Jul 19, 2022
419
921
Hali ikoje huko kwenu kutokana na hali ya jua kali linalo ikumba Tanzania. Je, kipi kifanyike kama taifa kuokoa wakulima maana hali ikiendelea hivi siku za usoni tutashuhudia Baa la njaa.

Nahisi kama taifa tunahaja ya kuitisha maombi ya taifa Mvua inyeshe kuachana na Dhuluma zozote Tunazifanya
481084978_2973548516152947_53302320930696354_n.jpg
 
Hali ikoje huko kwenu kutokana na hali ya jua kali linalo ikumba Tanzania .je kipi kifanyike kam taifa kuokoa wakulima maana hali ikiendelea hivi siku za usoni tutashuhudia Baa la njaa .
nahisi kama taifa tunahaja ya kuitisha maombi ya taifa Mvua inyeshe
kuachana na Dhuluma zozote Tunazifanya
View attachment 3259854
Mzee miaka ya karibuni ukame na mafuriko vimekuwa kawaida Kwa Nchi nyingi za Afrika na Dunia.

Sasa hapo maombi yanahusikaje? Hayo ni Mabadiliko ya tabia Nchi yaliyosabanishwa na binadamu.
 
Hali ikoje huko kwenu kutokana na hali ya jua kali linalo ikumba Tanzania. Je, kipi kifanyike kama taifa kuokoa wakulima maana hali ikiendelea hivi siku za usoni tutashuhudia Baa la njaa .
nahisi kama taifa tunahaja ya kuitisha maombi ya taifa Mvua inyeshe kuachana na Dhuluma zozote Tunazifanya

View attachment 3259854
 

Attachments

  • IMG-20250305-WA0035.jpg
    IMG-20250305-WA0035.jpg
    121.6 KB · Views: 4
  • IMG-20250305-WA0007.jpg
    IMG-20250305-WA0007.jpg
    137.3 KB · Views: 4
Oya huu mwaka wenye mitaji midogo kwenye nafaka ! Pumzi itakata mapema 😂😂 huku kwetu ndoo ya maharage iko 48k njano golori na Soya !

Niliwaza nilime lakini jua aseee ni kali vibaya mno ! 😂 Unaweza ukala za uso vibaya mno !
 
Oya huu mwaka wenye mitaji midogo kwenye nafaka ! Pumzi itakata mapema 😂😂 huku kwetu ndoo ya maharage iko 48k njano golori na Soya !

Niliwaza nilime lakini jua aseee ni kali vibaya mno ! 😂 Unaweza ukala za uso vibaya mno !
Ungelima tuu,kuna baadhi wamepata,Huenda ungekuwa miongoni mwao!
 
Back
Top Bottom