BILGERT
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 6,534
- 11,001
Wewe Jamaa unauhakika kuwa hao ni wanawake haya mambo ya multiple IDYap asilimia 80 ya wanawake wanaotumia Jf ni wasomi yani wana Elimu at least Certificate, kwa wanawake wenye akili kama bongo muvi au gigy money uwezi wakuta humu
Mmmh !! kinyume chake tena....? hujiamini !!
kwa mfano Faiza Foxy,weka mbali na watoto-ni somi la nguvuNaweza nikasema... Wanawake wakiwa JF wanaonesha adabu zaidi kuliko wakiwa FB, Insta, Snapchat na kwingineko... JF ina hadhi fulani hivi...
Humu asilimia kubwa wanajitahidi waonekane ladies with Class, ingawa kuna wachache saa mbovu...
Cc: mahondaw
Kigagulo kipi au siri yangu !!Jibu langu ni kinyume cha kuhamaki kwako.... Kasie yuko yuko tuu.... kigagula flani hivi... hehee
Msomi anatambulika hata jinsi anavyoandika. Ww u miongoni mwa 80%. Ingekuwa umefoji vyeti au hujaenda kidato basi ungeandika kama ile list ya majina aliosoma siku ile Bashite
Ha ha haPia nahisi weng wao wanaish wenyewe tu no husbands
ha haJuzi nlienda kumsalimia Dada angu kwake basi baada ya kukaa kidogo akaja mwanae akaanza kunambia anko KISIMI, hee nkashituka nkamwambia unasemaje ww akarudia tena KISIMI anko. Aisee nkashika bakora nikamchapa kweli ndo Dada anakuja anasema mtoto alimaanisha 'KISS ME'*
*Haya mambo ya kupeleka watoto shule za international ndo yanatuumbua ata sisi wenye vyeti feki kudadeki, pole anko mwaya*
liondolewe jukwaa la MMU na celebrity ndo tutaona usomi waoYap asilimia 80 ya wanawake wanaotumia Jf ni wasomi yani wana Elimu at least Certificate, kwa wanawake wenye akili kama bongo muvi au gigy money uwezi wakuta humu
95%Yap asilimia 80 ya wanawake wanaotumia Jf ni wasomi yani wana Elimu at least Certificate, kwa wanawake wenye akili kama bongo muvi au gigy money uwezi wakuta humu
Mmmh wewe haumo kwenye hiyo orodhaasante kwa kutambua hilo mkuu
Asanteh kwa kutoa sifa kwa wanawake, japokuwa nina certificate nimefarijika na kupata hamasa ya kuendelea na diploma.Yap asilimia 80 ya wanawake wanaotumia Jf ni wasomi yani wana Elimu at least Certificate, kwa wanawake wenye akili kama bongo muvi au gigy money uwezi wakuta humu
Kwani kukaa MMU ni kigezo cha kusema mtu hana elimu au hata celebrities forum pia...liondolewe jukwaa la MMU na celebrity ndo tutaona usomi wao
Kigagulo kipi au siri yangu !!
Walioko mmu ndo wako hata majukwaa menginei agree with you mkuu, isipokuwa wale wa MMU nina wasiwasi na vyeti vyao.
just kidding, musije kunichamba bure