Asante sana Kikwete kwa kutupatia Rais Magufuli, Watanzania tuna raha sana

Unapokuwa mtumwa wa fikra za wanasiasa utàsifia tu hata kwenye ujinga maana huna namna nyingine
 
Nampongeza JK kwa kuuzika mtandao baada kubaini haukuwa na nia njema kwa Taifa, lakusikitisha chadema wameufukua wakidhani utawasaidia, hawajui kuwa wahenga walinena aliyekwenda kaenda hawezi rudi ha ha haaaa
 
Kikwete ulikuwa na nafasi ya kumuondoa Magufuli kwenye orodha ya Wagombea wa Urais mapema kabisa kama ulivyofanya kwa wengine.

Ulijua kabisa Magufuli ni mbabe na katili lakini ukatuletea ili sisi tuteseke wewe una kinga.

Ulijua kabisa Magufuli hana uwezo na uzoefu wa uongozi wa kidemokrasia na kidiplomasia. Ila wewe Kikwete ukaamua kutuletea hivyo hivyo kibabe.

Kikwete tunasema asante kwa kisasi ulichotufanyia. Ila kumbuka Mungu yupo na malipo ni hapa hapa duniani. Mbinguni zinaenda roho safi tu.
 
Back
Top Bottom