ARUSHA: Zaidi ya tani 70 za sukari zagawiwa kwa wananchi

nasikia kizunguzungu,unanunua 1900 UNAUZA 1700.aise ndyo nasikia hapa hata unicef au wfp hawako hvyo
 
Ndipo tulipo fika hapo kusimamia biashara za watu ama kweli Nchi ni ya ajabu mno
 
sasa anananunua 1900, serikali inabidi imbane atueleze aknunua wapi kwa hiyo bei wakti wao wanaamini 1800 unapata faida. Then anatafutwa aliyemuuzia hiyo sukari nae atueleze kapata wapi kwa bei hiyo au ajustfy uhalali wa 1900.

nje ya hapo nitamshangaa anayemsifia huyu mfanya loss business
 
Sio maigizo tu ni pamoja na ujinga,yaani wanataka kuturudisha enzi za Ujamaa na Kujitegemea ili ULANGUZI NA MWENDO WA KURUKA virejee tena au?,jibu pekee kwa matatizo ya UHABA ni kuondoa UKIRITIMBA na UMANGIMEZA,yaani watu wapewe uhuru wa kuagiza bidhaa zote muhimu kutoka nje bila kuleta UHARO wa KULINDA VIWANDA NCHINI ambavyo viko TAABANI na vimejaa MAJITU MAVIVU YASIO NA TIJA kwa serikali wala wananchi,ACHA WENYE PESA ZAO WAINGIZE BIDHAA ZOTE NA USHINDANI WA KIBIASHARA UTATOKEA NA WANANCHI WATAFAIDIKA.
No coment
 
No coment
Thank you mkuu,hii Serikali haina uchungu na wananchi wa Tanzania hata tone,mambo yanayohusu bidhaa muhimu hayahitaji rocket science,hata mtoto wa shule ya kata atakujibu nini kifanyike,my fooooot eti KIBALI KUAGIZA SUKARI NJE,SHHHIIIT,zama za Mwalimu Nyerere eti unatakiwa ukiwa na sherehe kama ya HARUSI unatakiwa upate KIBALI cha kununua SODA aina ya DOUBLE COLA (shit product)kutoka kwa R.D.D,basi rushwa ikawa ndio IBADA.Sasa wanataka kuturudisha kule kule kwenye UKENGE au siyo?,.Eti TUNAKAMUA MAJIPU ewe MOLA ULIO MBINGUNI TUOKOE NA HII SERIKALI ISIO NA TAALUMA YA UONGOZI .
 
Hii sukari imesambazwa Na siyo kugawiwa imesambazwa kwa wafanyabiashara ili wauze kwa bei elekezi si mueleze ukweli tu
 
hivi hili neno Bure nadhani linatumika vibaya.

Semeni hukweli sukari inauzwa na siyo kugawiwa kwa wananchi.

Hapa naomba hili jambo liwekwe vizuri, maana linaleta mkanganyiko kwa wananchi.

Unakuta mwananchi Anakwenda akidhani anagawiwa bure. Alafu anaambiwa lete fedha!
Nilianza kusikitika nimekosa mgawo wangu kumbe imeshuka bei? Jamani, kuweni makini na mnachoandika ili na wengine waelewe sawasawa. Usiandike kama unayeongea na mtu ambaye atakuwa anakuuliza maswali ya papo kwa papo.
 
Arusha ipi mkuu wangu ebu tuache maigizo katika masuala muhimu.
 
Yani hata Arusha ambayo iko chini ya mpiganaji Lema na chadema kwa ujumla ,nao wanasubili Magufuli aje kuwatatulia tatizo la Sukari???


Kuna haja gani sasa ya kuchagua upinzani
 
Kwa bei hiyo, hii sukari itakuwa imepita muda wa matumizi na haifai tena kwa matumizi ya binadamu wakaona kuliko kuiteketeza na ukata huu bora kuwauzia wananchi maana wameshazoea kula vilivyo haribika, mweeee ccm hili janga la sukari halitatuki kwa mzuka fanyeni mipango. Afya zetu sasa zimewekwa rehani na viongozi.
 
Back
Top Bottom