mwakani naolewa
Senior Member
- Jul 25, 2024
- 148
- 425
Mwanamke mmoja anayekadiriwa kuwa na umri 39 anayefahamika kwa majina Airini au mama QUEEN amekutwa amefariki nyumbani kwake katika chumba anachoishi lakini pembeni kukiwa na kichanga kinachokadiriwa kuwa na miezi 6 .
Tukio hilo limetokea mtaa wa kambi ya chupa halmashauri ya jiji la Arusha. Baadhi ya majirani wameeleza kuwa mwanamama huyo amefariki baada ya kuvuja damu nyingi katika kitendo cha kujaribu kutoa ujauzito huo aliokua nao kwa muda mrefu bila watu kujua.