LGE2024 Arusha: Mgombea wa CUF ashinda Uchaguzi Kijenge Kusini, alalamikia kuzuiwa kwa mawakala wa chama chao

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Mindyou

JF-Expert Member
Sep 2, 2024
862
2,333
Wakuu,

Katika kipindi hiki ambacho matokeo yanaendelea kutangazwa, mengine mapya yanaibuka.

Aliyekuwa mgombea wa Chama cha Wananchi (CUF) mshindi wa Uchaguzi katika mtaa wa Kijenge Kusini, kata ya Kimandolu, jijini Arusha, Shaaban Suleiman Mzava, ameeleza malalamiko yake juu ya mawakala wa chama hicho kuzuiwa kuingia kwenye chumba cha kupigia kura wakati wa uchaguzi.

Huyu kama ameshinda analalamika nini tena?


 
Back
Top Bottom