ARUSHA: Meya, Madiwani pamoja na Viongozi wa dini bado wanaendelea kushikiliwa na Jeshi la Polisi

Unajua siamini kabisa??Liwe fundisho kwa Mapadre ,maparoko na maaskofu kuishabikia CCM
Ulitaka wakushabikie wewe?
Mkosi au Matatizo yanaweza kumkumba yeyote yule; awe Mkubwa, Mdogo, Tajiri, Maskini, Kiongozi, Mwananchi wa kawaida, na nk.
 
Wamelala mahabusu jana baada ya kunyimwa dhamana
Lema huko aliko atakuwa kafurahi mno kuwa na wao waone mahabusu. Yeye ndie alilitunga ndie architect ilipofikia kwenda kawabwagia yeye kasepa kawaachia soo. Siku ingine akipanga kitu akitaka kuwasokomezea wamwambie nenda mwenyewe uliyezoea mahabusu
 
Back
Top Bottom