Nicolas J Clinton Gabone
JF-Expert Member
- Mar 13, 2014
- 878
- 489
Hongeza mapacha Arusha juu.
We msukule wa arusha umeshapona na mimeno yenu iliyooza.Mzaliwa wa kumnazi na runazi utamjua tu... Muda wote anakua na hasira utadhani yupo kuzimu. Sa unalia lia nini hapa... Utamchaguliaje mtu cha kuandika...... Acha watu wafanye mambo yao bana jombaa... Hili ni jukwaa huru chali yangu ....nenda kaanzishe mada yako huko ukitulize watakao kuelewa waje. Upendi kuona watu wanapasifia kwao kajipumzishe kwa amani tuondolee usoro wako hapa
Dar es salaam town kitambo.
Welcome in the biggest city Tanzania
Ninyi ni watumwa tu huko arusha, mifupa imemtoka kama ana ngoma.Njeree imeshikilia billioni mkononi wakati Mitindo huru amejibanza Ileje na jembe pembeni asubuhi awahi kupalilia mahindi hehehehehe
We msukule wa arusha umeshapona na mimeno yenu iliyooza.
Tulieni dawa iwaingie nyie misukule ya arusha mnaoshindia banana na mirungi hapo kijijini arusha
Chuga a. k. a chura.Dola haina kwere unaagizia bia na kitu cha Ar
Mkuu muelimishe mitindo huru wewe ni mtu wa pwani umekuja arusha umeishi na umepapenda hakuna aliyekubagua sasa yeye anasema huku kuna ubaguzi sijui alibaguliwa kivipi...by the way aim mall ipo maeneo ya majengo...!Eh! vijana wa chuga siwawezi mpaka saa hizi bado mnaendeleza libeneke? nyie kiboko hiyo mall ya AIM STEEL iko wapi hapo Arusha?by the way mimi nimeishi sana Arusha ingawa ni mtu wa pwani na bado napapenda kwani nahisi kama vile kuna sehemu kubwa ya maisha yangu yapo kule ninapoona mambom yanayoendelea huko najifeel raha na kukumbukia wakati nikiishi huko i real love Arushaits my second town.
Mshamba wewe.... Na meno yako meupe kwenu wapi? Kitulize basi utueleze mazuri ya kwenu
Hongeza mapacha Arusha juu.
Ndo ujione una mihemko sasa.... Unakemea nini na unapost nini? Kweli kushindana na kichaa kumbe kazi hivi
Una jazba. Kwani ukijituma ita kugharimu kitu gani.... Meno meno.... Mengine uyaoni... Kweli ushamba mzigo... Haya kaanzishe mada ya runazi basi... Nyumbani nyumbani.... Aibu ya nini!
Mtaacha tu huo utumwa wenu wa mawazo huko kijijini arusha.Mkuu muelimishe mitindo huru wewe ni mtu wa pwani umekuja arusha umeishi na umepapenda hakuna aliyekubagua sasa yeye anasema huku kuna ubaguzi sijui alibaguliwa kivipi...by the way aim mall ipo maeneo ya majengo...!
Welcome to the silent city and biggest city in Tanzania say Dar es salaam
We vipi? Mapenzi yanaanzia nyumbani then huko uendako, jivunie home sio ugenini, ugenini tengeneza heshima MTU Wangu. Hata Mgosi ukimuuliza kwao wapi atakuambia TANawaomba jamani, tuungane kui promote TANZANIA.. sio mikoa mi ni mzaliwa wa arusha but i really hate ushindani wa namna hii, huko nje tunahukumiwa kama wa TZ sio wa arusha!
Mtaacha tu huo utumwa wenu wa mawazo huko kijijini arusha.
Karibuni the true and rea city in Tanzania tujenge nchi,
Mnashinda huko porini arusha kama misukule na mlivyooza meno ukijumlisha mna vyokula mirungi kama mbuzi anatafuna nyasi ndio basi tena.
Huko arusha ni porini wadanganyeni wajinga wenzenu huko mbugani arusha
Life ni vile utavyoishi,kama utaendekeza mambo ya kipuuzi ndio utakayoyaona lakini kama utafanya shughuli zako mambo kawaida tu,ubaya hauna kwao wala hauna mwenyewe,kusema kwamba watu wa eneo fulani ni wabaya inategemea umeishi nao vipi,kwa kweli mimi siwezi kuwasema vibaya watu wa Arusha,kwanza kuna makabila mengi tu japo wachaga wanaweza kuwa wanaongoza lakini kwa miaka saba mimi nimeishi nao poa kabisa .Mkuu muelimishe mitindo huru wewe ni mtu wa pwani umekuja arusha umeishi na umepapenda hakuna aliyekubagua sasa yeye anasema huku kuna ubaguzi sijui alibaguliwa kivipi...by the way aim mall ipo maeneo ya majengo...!
Dar es salaam ndiyo moyo wa tanzania na ni kama maji lazima utatumia wewe msukule wa arusha.Hahahaaaa yan Dar mnaringia mwendo kasi na daraja la kigambon zaid ya hapo hakuna jipya.
Juz nlikuwa Dar yan hewa nzito kariakoooo., chakula shidah, population ndo usiseme , sijui uko fery ukipanda hiyo bot mnabanana yan shida tupu. Ukikod tax unaonekana jambazi. Mh. Ndo Mara yangu ya kwanza kupanda bajaji. Nusu nizimie. Yan Dar mh
zinapangishwa hizo Arusha, una hela??Mtaacha tu huo utumwa wenu wa mawazo huko kijijini arusha.
Karibuni the true and rea city in Tanzania tujenge nchi,
Mnashinda huko porini arusha kama misukule na mlivyooza meno ukijumlisha mna vyokula mirungi kama mbuzi anatafuna nyasi ndio basi tena.
Huko arusha ni porini wadanganyeni wajinga wenzenu huko mbugani arusha
Hujui unachokiponda wewe, ukimuuliza anaefagia ikulu anafanya KAZI wapi? Jibu jepesi ni ikulu, huko note ni R one, mtindio huru jiongezeMimi ni mtanzania wala sina matatizo ya akili kama ninyi. sehem ya kusifia nitasifia kwa mustakabali wa nchi ya TZ na sehemu ya kuponda nitaponda kama hivi kwa mustakabali wa TZ.
vijana ni wa arusha ni kama punda wa wazungu hapo arusha au kama wasindikizaji wa msafara.
Maisha ya arusha mnayoyasifia ni wazungu na watu wachache wa arusha wanaoishi aina hiyo ya maisha na hizo picha za majengo mnaishia kuzitazama nje.
Amkeni kwenye huo utumwa wa akili kwa kusifia huo ujinga.
Nendeni kule sakina nyumba nyingi wanaishi wakenya labda maeneo ya raskazone, milestone n. k, nendeni njiro nyumba nyingi wanaishi wazungu na makampuni ya kigeni kuanzia pale general tyre nanenane labda kule porini njiro kwa msola hadi kule veta karibu na atomic.
Maeneo ya makazi kwa wanaarusha wengi ni ngaramtoni, sekei, sanawari, matejoo, mianzini, kwa idi, moshono, kijenge juu na chini, chekereni, unga ltd usa, tengeru, maji ya chau n. k hapo ndio mjini.
Nenda huko kijijini kuanzia kisongo, monduli, makuyuni, mto wa mbu, karatu n. k ndio kunatia huruma kabisa.
Sasa nini cha ajabu huko arusha hadi mnakuja hapa JF kuleta utoto wenu.
Elimisheni jamii zenu huko maporini arusha sio kwa kulewa mibanana ya mia mbili mnakuja kujidhalilisha kwa ukanda na ukabila wenu huko kijijini arusha.