Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 36,006
- 40,871
Akimzungumzia mtuhumiwa huyo, mmoja wa majirani wa eneo hilo la Daraja Mbili (jina limehifadhiwa) alidai kuwa mzazi huyo amezoeleka kwa tabia hiyo mbaya mtaani kwao.
Huu ugonjwa ulianzia Moshi maana kuna visa kama hivi vilisikika sana miaka ya kazibuni