Nicorandil
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 234
- 684
Leo ni ngumu Brighton kurudisha hizo goli zote mpaka ashinde.Nafikiri zilikua zimebaki timu nne ambazo hazijapoteza mechi.
Brighton akipasuka leo anapunguza ida
Leo ni ngumu Brighton kurudisha hizo goli zote mpaka ashinde.Nafikiri zilikua zimebaki timu nne ambazo hazijapoteza mechi.
Brighton akipasuka leo anapunguza ida
Calafiori alirudi ndani na hakugusa mpira sa hapo sijui walikua wanafanya namna gani.Hapo sasa! wonders will never end.!
Calafiori, alitokea nyuma kuja kuukwepa mpira.Pale ilikua inaangaliwa offside gani?
Jackson na Nkunku wanawazidi maforward wenu wote magoli hadi sasaKwa forward ya Jackson au siyo🤣🤣🤣....mkuu mkijirahidi ni Europa mnaenda kucheza...si vinginevyo
Unaona tunavyomsulubu Brighton huko ?Kwa forward ya Jackson au siyo🤣🤣🤣....mkuu mkijirahidi ni Europa mnaenda kucheza...si vinginevyo
Sasa fixture yenu ingekua kama ya Arsenal mngekua wapi? 😅😅Jackson na Nkunku wanawazidi maforward wenu wote magoli hadi sasa
Acha visingizio kakaSasa fixture yenu ingekua kama ya Arsenal mngekua wapi? 😅😅
Mechi UCL
Mechi Carabao
Mechi ligi
Nakwambia ukweli unasema visingizioAcha visingizio kaka
Yuko vizuri aiseeHuyu kipa wa Leicester yuko vizuri.
Kuna mtu kamuona Vardy akiwa kagusa mpira?