Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 75,720
- 229,446
Fungu la kukosaMarefa walochezesha mechi zetu walitubetia....yule Michael Oliver sijui na yule mpumbavu alochezesha mechi yetu na Brighton yaani walifanya Kila namna tusiondoke na point 3....vinginevyo saahii tungekuwa kileleni na point 18 zetu....Livakuku ya Klopp ndo ilikuwa walau inatisha ila hii ya kipara Slott inaacha matobo nyuma hivi....hakyanani ni suala la muda kitawaramba...mzee midevu wa nott forest kashatoa mchoro namna ya kuwadunda