Apple washafanya yao, FBI tafuteni janja nyingine

kwa hiyo hiyo link imetolewa na apple officially kufix tatizo lililotokea au umeamua kutuletea screen shot ya update ya simu yako tu???
 
image.png
Teh Teh wewe utakuwa mwanaume wa kigoma.
Kwa nini?
Hii imekuja juzi kutoka US tatizo lenu watz wivu na kujifana isha na wengine
 
F.B.I iyo aichukui miez 3 itakuwa walishamaliza weka mbali na (f.b.i) hawa jaamaa n sheedah
 
....hivi FBI wetu hata nokia wanaweza kuifungua kweli...??? hahahahhaaaaa.....
 
Hiyo update haihusiani na fbi kufungua simu zao, ni fix ya bug waliyointroduce katika update yao ya hivi karibuni iliyoharibu baadhi ya simu.

Actually Apple hawajui hata imefunguliwa vipi na wanataka FBI wawaambie.

Wataalamu wanasema hack hiyo inafanyika kwenye hardware level so software update haitasaidia kitu.
 
Hapo ni vita kati ya status ya taasisi iliyojipatia umaarufu kama taasisi wenye weledi mkubwa sana kwa maana ya FBI vs kuaminika na wateja kwa maana ya target ya Apple.
Ila naamini zaidi kuwa FBI ni mwisho wa kazi.
 
Apple wameweka heshima yao mbele ya jamii na wateja wao, hao FBI waendelee kwenda kuhangaika wenyewe sio kushurutisha makampuni yafanye watakavyo wao. Safi sana Apple.
 
Humo humo Apple FBI wamepenyeza watu wao kitambo. Wakitaka kitu watakipata tu kwa namna yoyote ile.
 
sasa kwa akili zako mtoa thread unadhani FBI wameshindwa/watashindwa??????
 
Back
Top Bottom