App za mitandao ya meta zipo chini, Meta Wagombea radhi

Davidmmarista

Senior Member
Apr 11, 2024
101
103
Kampuni ya meta app zao zipo chini siku ya Leo sijui nadhani kila mtu ame experience hiki kitu leo.

---

Kampuni Mama ya META inayosimamia mtandao wa Instagram, Facebook na WhatsApp imekiri uwepo wa hitilafu iliyopolekea idadi kubwa ya Watumiaji wa mitandao hiyo katika sehemu mbalimbali duniani, kukumbana na changamoto za kimtandao zilizopeleka kushindwa kufanya chochote kwenye mitandao hiyo.

META kupitia ukurasa wake wa X imesema inaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza na kusema inafanya kila liwezekanalo kurudisha mitandao hiyo katika hali yake ya kawaida haraka iwezekanavyo.

Tovuti ya down detector imepokea maoni ya Watumiaji zaidi ya elfu 60 ambao wamesema wameshuhudia hitilafu pale walipotaka kutumia kurasa zao za Instagram.

Watumiaji wengi wamekuwa wakikutana na ujumbe unaosema "something went wrong' na wengine wamekutana na ujumbe "upload failed".
***
Thousands of users are facing issues accessing Meta-owned social media apps, including Instagram, Facebook, and WhatsApp, with many unable to use the platforms for hours. The outage is affecting users globally, causing frustration among social media users.

Outage tracking website Downdetector is showing a huge increase in reports for Instagram, Facebook, WhatsApp, Facebook Messenger, and WhatsApp Business, with many users facing problems with Meta-owned apps. On Instagram alone, there have been over 30,000 reports, showing that the issue is affecting people globally.
 
Back
Top Bottom