Anyimwa Mke sababu ya Msosi: Wanaume wa mjini Badilikeni sasa Habari zimefika Mikoani

Ata mie mwanaume anaerembua kwenye msosi simuelewi kabisaa! Ata kama ndo kumaintain mwili, si apige mazoezi!!!
 
Kama kula sana ni aibu basi me mshipa ulishakatika me hua tukienda kwenye sherehe nahakikisha nimeacha historia hata my ex alikua anajua hilo siachi kitu mm kizembe zembe
 
Mi kiukwel nikiletewa hawa kuku wa humu town ambao now ni legelege huwa sibakizi kitu.natafuna mpaka mifupa.kuku laini utadhan waliumbwa kwa nyama tupu.na siku hizi nmezila kula kabisa hawa kuku mabitoz na masister du.

Nlishangaa nmeishi na jamaa mmoja hostel miaka ya nyuma anaimba wimbo eti mwanaume hasifiwi kula. Nlishangaa sana. Sili ili nisifiwe nakula sababu mwil unahitaj. Hawa jinsia me ya siku hizi zaman wasingeoa au kupata madem kabisa. Maana miaka yetu ilitaka ukakamavu hasa
mifupa ya kuku wa mjini imejaa ma arv wewe na dawa za kufanya maiti isioze
 
MIMI HAPA.... Twala hafu tukishiba twalala.
mie
ntaman sana kupata mwana nke anayependa kula. maana sipend miye ninunue chakula haf ntu aache kula au ale kidogo kisha kingine abakishe. huwa roho yaniuma sana. mara nying huamua kula mwenyewe hicho achobakisha. dada kama upo dar mi naomba nkualike kwenye kula tu. wala sitokuwa na nia engine mbaya


mwanaume anayependa misosi anitafute.yaani bora hata usinigegede tule vizuri
 
Umenikumbusha mwaka jana kuna rafiki yangu nilimsindikiza kwenda kuchukua jiko pande za Lushoto, imefika usiku kila mmoja akapewa bonge la ugari na nusu jogoo jamaa akagusa tu akashiba kwa kuogopa kisa yuko ukweni . Aise mm nilifukia mpka sahani zikawa nyeupe jamaa.. Maana huku pwani jogoo adimu sana
 
Soseji moja, yai moja,kikombe cha chai.... Asubuhi
Kiepe yai, mshkaki mmoja... Mchana
Kipande cha muhindi chenye pilipili na ndimu.. jioni
Kiepe yai na Fanta... Usiku
Siku imeisha!!!!
NLIVOONA HII COMMENT KABLA YA KUONA JINA LA ALIYE COMMENT NILISHAJUA NI WEWE...HAHAHAH ILA JAMAA KAZINGUA BISHOO SANA YULE....USIPOKULA UTAWEZAJE KUZAA
 
Umenikumbusha mwaka jana kuna rafiki yangu nilimsindikiza kwenda kuchukua jiko pande za Lushoto, imefika usiku kila mmoja akapewa bonge la ugari na nusu jogoo jamaa akagusa tu akashiba kwa kuogopa kisa yuko ukweni . Aise mm nilifukia mpka sahani zikawa nyeupe jamaa.. Maana huku pwani jogoo adimu sana
SASA WEWE NDO ULITAKIWA UPEWE JIKO HILO...MKE
 
Mimi kwenye maswala ya kula hua sitaki mchezo
ALAF NDO MAANA SIPENDI KUJA DASILAMU UNAPEWA CHAI NA MKATE SLESI SIJUI MOJA WAKATI KWETU MBEYA NAAMKA NAPATA MAGIMBI 8 YA KUELEWEKA UKUBWA KICHWA CHA MTOTO WA MIAKA 4 NA MAZIWA JAGI MOJA AT LEAST NAKUA NIMESHIBA
 
Back
Top Bottom