Antony Diallo anena kuhusu yanayoendelea nchini

"Kuanzia Sakata la kutaja Watuhumiwa wa biashara ya dawa za kulevya mpaka kinachodaiwa "Uvamizi wa kituo cha Clouds Media Gruoup"! RC Paul Makonda amekuwa gumzo kuu hapa Nchini kwa sasa ,kuanzia kwenye vyombo vya habari,mitaani na kwingineko!

Nikiwa hapa Kijijini kwangu Mwanduhitinje nimekuwa nikilifuatilia suala hili kwa taratibu sana bila mihemuko ili nijifunze kitu kipya na kwa kweli nimejifunza sana!

Kabla sijasema mafunzo niliyopata kutokana na "Sakata" hili niwaeleze kuwa nimesikiliza Clips zote za "Askofu" Gwajima kuhusu RC Paul Makonda,Nimesoma magezeti yote yaliyo na yanayoandika habari kuhusu RC Paul Makonda,Nimefuatilia post zote za Mange Kimambi kuhusu RC Paul Makonda,nimefuatilia comments za Watu mbalimbali kuanzia RC Paul Makonda akichipukia UVCCM akitokea TAHLISO kama Rais wake na hata alipom-blast Lowassa kuwa hana sifa za kwa Rais na Mwenyekiti wa CCM, na sasa naeleza mafunzo niliyopata na hasa baada ya kusoma Gazeti la JAMUHURI kwa kile walichokiita Uchunguzi uliofanywa na WAANDISHI WETU!

FUNZO LA KWANZA: Tanzania ni miongoni mwa Nchi Duniani zenye uhaba wa Waandishi wa habari na Wasomi (Ninaposema wasomi simaanishi wale wenye "A" zote na Makofia mengi lakini wameishia kufuga kuku na Nguruwe kule CHANGANYIKENI).

FUNZO LA PILI: Watanzania wengi ni watu wasio na agenda yoyote ya maana ya ku-accomplish katika maisha yao bali ni watu waliokata tamaa na wanaotumia MATUKIO kama "pain killers" ya kuwapunguzia maumivu kutokana na KUSHINDWA kwao.Ndio maana Watanzania wengi hushabikia sana habari zinazomdhalilisha mtu au kumshusha chini mtu aliyeko juu kama RC Paul Makonda.

FUNZO LA TATU: Watanzania hatuna wanasiasa wenye maono,wanasiasa wetu wengi ni waganga njaa tu ambao wamefanya siasa kama kichaka tu kujifichia na kutafuta riziki kwa ajili ya maisha yao na siyo maendeleo ya wapiga kura na Taifa kwa ujumla!

FUNZO LA NNE: Tanzania hakuna UPINZANI,na itachukua miongo mingi sana Nchi hii kuweza kuongozwa na Chama cha Upinzani.Hawana Ajenda na ni watu wa MIHEMUKO! Ajenda zao ni kama hizi WEMA SEPETU KUPOKELEWA CHADEMA,TUNDU LISSU KUWA RAIS WA TLS, RC PAUL MAKONDA KAVAMIA KITUO CHA CLOUDS MEDIA GROUP.

FUNZO LA TANO: Wapinzani wa Tanzania HAWAJITAMBUI na WALA HAWAJUI WANAMTUMIKIA NANI! Hawana Rafiki wa kudumu wala Adui wa Kudumu! LOWASSA FISADI,LEO LOWASSA JEMBE! NAPE VUVUZELA leo NAPE JEMBE kwa kuwa "amekurupuka" kutoa tamko la kulaani Kabla ya Taarifa ya uchunguzi wa kamati yake aliyounda kumfikia mezani!

Baada ya kusoma hayo MAFUNZO niliyopata kuhusu "SAKATA" la RC PAUL MAKONDA embu njoo sasa nikupitishe kwenye hizi "hypothesis" zangu kabla hamja-conclude jambo lolote.

Observation moja muhimu kwanza ni hii hapa: Watanzania wengi, Wanasiasa,Wasomi na Wananchi wa kawaida wanafananishwa na mnyama mmoja mwenye umbo kubwa sana sawa na Uwanja wa mpira wa miguu lakini ni mnyama mwenye kichwa kidogo mithili ya bakuli ndogo ya kulia supu! Uwezo wa mnyama huyu kufikiri ni mdogo sana na kuhisi chochote ni mpaka umguse kichwani.( Their brains are very small to entertain two big events at once ! they must drop one event to entertain the other !) ! Ndio maana Nchi hii ni ya MATUKIO hili likija litafunika hili na hakuna impact yoyote na hata hili la RC Paul Makonda litapita muda si mrefu kama unabisha subiri Bunge lianze April! RC Paul Makonda wewe vumilia tu bado KITAMBO KIDOGO WATASAHAU TU!

HYPOTHESIS YA KWANZA:
Nimesoma kwa utulivu sana Uchunguzi wa Gazeti la JAMHURI kuhusu Paul Makonda,Mtu aliyesemwa na akina "Askofu" Gwajima kuwa Paul Christian Makonda anatumia vyeti vyake Ndugu Paul Pierre Christian amekanusha vizuri sana na pia hana dada aitwaye Christina aliyetajwa na akina "Askofu" Gwajima. Hakuna dhambi yoyote jina lako kufanana na la mwingine, Juma Ali wako wangapi Zanzibar? Mohamedi Ali wako wangapi Duniani?!
Sheria inaruhusu kubadili jina na RC Paul Christian Makonda na kama ni kweli alikula kiapo mahakamani kubadili jina basi alijua jina alilokuwa akitaka kutumia la PAUL CHRISTIAN MAKONDA si lake la awali! Kwa nini basi aliende mahakamani?

HYPOTHESIS YA PILI;
Je PAUL CHRISTIAN MAKONDA hawezi kuwa ni mtu makini mwenye "SPECIAL MISSION" kutoka "KITENGO" fulani anayo-accomplish ?!
"Qualities "anazoonyesha RC PAUL MAKONDA zinazoweza ku-support hii hypothesis ni hii ya kupoteza "initial identity yake",pili angalia comments za Mzee Khamesse na familia yake ni watu ambao wamekuwa "disappointed" na tabia za RC PAUL MAKONDA, Nawanukuu kwa mujibu wa JAMHURI, " alikuja hapa kama mara mbili saa saba usiku na saa tano usiku,hakuingia ndani! Hapokei simu na namba anazowapa ni feki muda wote hazipatikani!
Kwa utamuduni wa kiafrika kwa watu waliokulea na tena kwa MUSUKUMA kama PAUL MAKONDA na pia kwa umaarufu na hesima aliyonayo Mzee Suleiman Khamesse lazima kuna KITU HAPA si Bure!!!!!

HYPOTHESIS YA TATU;
Katika vita hii ya Madawa ya kulevya tunajua RC PAUL MAKONDA amefanya jambo ambalo hata Marehemu Amina Chifupa alitaka kujaribu lakini hakulifikia.Kilichompata Amina Chifupa sote tunajua.Hivyo hawa WAUZA UNGA NA WATEGEMEZI WAO HAWAWEZI KUMFURAHIA RC PAUL MAKONDA LAZIMA WAJARIBU KUMWANGAMIZA TU! Na hapa Mheshimiwa Rais DR. JMP kama unaujua ukweli kuhusu kijana huyu basi please MLINDE KWA GHARAMA YOYOTE!
Ndio maana unapoona NAPE NNAUYE anatukuzwa kuwa ni jembe japo ukweli ni kuwa "AMEKURUPUKA" sana na kutozingatia ile dhana ya "collective responsibilty". WENGI WANAPIGANA VITA YA WAUZA UNGA DHIDI YA RC PAUL MAKONDA BILA WAO KUJUA au KWA KUJUA na Nape Nnauye AKIWEMO!

HYPOTHESIS YA NNE;
Kuhusu RC PAUL MAKONDA kuvamia kituo cha CLOUDS pamoja na kupewa Magari na Watuhumiwa wa biashara ya Madawa ya kulevya yaani kampuni za TANGA PETROLEUM LIMITED NA NAS HAULAGE LIMITED. Hapa nikiri wazi kuwa najenga hoja yangu kufuatia maarifa niyopata kutokana na kusoma vitabu vifuatavyo: Kitabu cha The Book of Five Rings cha Mjapani Miyamoto Musashi, Kitabu cha 48 Rules of Power na Kitabu cha Lucifer Principles cha Howard Bloom.

Ukiangalia kwa hao marafiki zake kwa pamoja RC PAUL CHRISTIAN MAKONDA amejaribu sana kujenga nao urafiki wa karibu mno! Je hii HAIWEZI kuwa ni strategy ya "kum-nail" adui ?! Je CLOUDS media Group hawatajwitajwi katika hii biashara HARAMU ya Madawa ya Kulevya?! Chunguza na fuatilia kifo cha Msanii Albert Mangwea kama MKONO wa CLOUDS MEDIA GROUP hautajwitajwi.

RC PAUL CHRISTIAN MAKONDA anaweza kuwa ni mtu "HATARI" kuliko anavyochukuliwa ,kubezwa na kudhalilishwa na WATU WENYE UPEO MDOGO kama yule Mnyama niliyemwelezea hapo juu!

Yawezekana RC PAUL CHRISTIAN MAKONDA akawa sawa na mtu anayetupia kuku wake mahindi pale tu anapotaka kumkamata ili amchinje! ZITTO KABWE anasema ameambiwa kuwa kile kikosi alichotumia RC PAUL CHRISTIAN MAKONDA "kuvamia" CLOUDS kilikuwa maalum ambacho idhini yake hutolewa na Rais au Boss TISS. Je,tunajuaje kama RC PAUL CHRISTIAN MAKONDA alitumia style ile ya YUDA ISKARIOTE aliyotumia kumtambulisha YESU Christo kwa wale maadui waliofika bustanini kumkamata? Labda RC PAUL MAKONDA "alinusa" kuwa CLOUDS MEDIA GROUP depot yao ya "UNGA" wameihamishia Studio na hivyo akaona aende na kikosi maalum incase ameukuta huo "UNGA" upo awakombe na incase ameukosa awapotezee tu kuwa yeye ni mtu wao na anafuatilia "Kipindi chake".

Kwanini isiwezekane hivyo kama ni huyu PAUL CHRISTIAN MAKONDA ambaye alituhumiwa kumfunga Ridhiwani Kikwete kamba za viatu na bado akaja kumuorodhesha katika orodha ya watu 97 anaowatuhumu kufanya Biashara ya dawa za kulevya!

Amemtaja Ridhiwani Kikwete na Yusufu Manji kuhusika na biashara ya Madawa ya kulevya kitu ambacho MWIGULNCHEMBA hawezi kufanya hata kama angekuwa na ushahidi mkononi!
Tungekuwa na Waandishi makini wangechunguza RC Paul Makonda anapokuwa nje ya Nchi anaongea na akina nani MISSIONS zake ni zipi lakini kwa hawa wetu ambao wakiamka wanakimbia kuangalia leo Mange Kimambi ame -post nini au Jumapili hii "Askofu" Gwajima atamchanaje Paul Makonda!

Hivi ukiwa hujapewa Vyeti uangalie na ukaambiwa uwasikilize wakijenga hoja SAED KUBENEA, BONIPHACE JACOB (MAYOR WA UBUNGO) na RC PAUL MAKONDA nani utasema ana ZIRO! obviousily ni KUBENEA na BONIPHACE JACOB! Je,ZIRO ya Paul Makonda haiwezi kuwa ni ya kutengeneza kwa "SPECIAL MISSION".?!

Albert Einstein alipata kusema kuwa akili iliyotumika kutengeneza tatizo haiwezi kutumika kutatua tatizo hilo.NDUGU WATANZANIA TUTAMBUE KUWA VITA DHIDI YA MADAWA YA KULEVYA NI NGUMU KULIKO TUNAVYOFIKIRIA na kama unabisha kamuulize JAKAYA MRISHO KIKWETE au WILLIAM LUKUVI.
Unayepiga kelele bila kuruhusu kichwa chako kufanya kazi piga tu kelele LAKINI TAMBUA KUWA yawezekana unapiga kelele bila kujua kuwa wewe ni sawa tu na MBUZIaliyeko kwenye banda la mpika supu!"
Hivi kuanzia tarehe ngapi Anthony Diallo amekuwa na busara, achilia mbali akili ya kutambua anachojaribu 'eti kuchambua kisomi' hebu jaribu kurejea kumbukumbu ya utawala wako kama waziri wa Utalii. Sitarajii kuona ukikemea huu ujinga na upumbavu unaoendelea
 
HUYU ANAFIKIRI LABDA WATANZANIA BADO NI WAJINGA NA HAWAWEZI KUPAMBANUA MAMBO KWA MITAZAMO NA UELEWA WAO
KWAKE YEYE ATAKAYEFIKIRI SAWA NA ATAKAVYO YEYE NDIO MWENYE AKILI,
 
Hili bandiko si lilitolewa jana humu JF kumbe yule alieleta ni Diallo aisee ndo mana watu hawakukubaliana na hili andiko
 
Mzee Diallo umesahau Kitu kimoja, pepo hatoi pepo, akitoka mmoja wanaitana 70. Mchafu ni Mchafu tu hata akivaa suti hatakati.
 
Kuna vitu vimeningia sana na huwa namn sisi weng wetu tunajengwa vbaya au tunajijenga vbaya sana tafaut na mataifa mengne..tumekuwa watu wa kushabikia vtu ambayo visivyo na faida n kwel au vtu vya kumuondolea mtu heshma au kumshusha....kwel huu n upuuz kama taifa hli n wazalendo tungepigania kwa nia njema sote kulijenga na kupgana na hawa wauza unga...tumekuwa watu wa matukio kiukwel....hata JF imekusapot sana kw watu wa aina fulan na mada za aina fulan inafka hatua ukiandka mada kuhusu mtu fulan wa negative haraka inafutwa....tunatengenezea kizaz cha kuamka na kuangalia nan japost nn daima sitakuwa mmoja wao
 
Hapo kwenye matukio kapatia,vipi michango ya tetemeko Kagera ?Tulibwabwaja weeeee leo kimya,na michango haijawapata walengwa.
 
Mheshimiwa Dialo, wewe ni mmiliki wa chombo cha habari tena kipo hapo Mwanza umeshindwa kutumia waandisho "naamini wana weledi" kuonesha sura halisi ya suala hili, kisha unatuambia hayo uliyosema.

Pili wewe ni Mwanaccm na tena mwenyekiti mkoa yote yanaoendelea yanakichafua saaaana chama chako (huku wapinzania wakichochea moto), naamini ungeweza kuwa na taarifa sahihi na hata ushauri kwa chama chako na kusafisha unazoziita tuhuma za madawa n.k, umeshindwa badala yake umeandika hayo uliyosema ambayo bado haiondoi uvundo ulienezwa.

Vyombo vya dola (kupitia Cyber crime) wamelikalia kimya suala hili kama kweli ni smearing compaign kwa nini Gwajima & wauza madawa wasikamatwe wapelekwe mahakamani kujibu shitaka la kumchafua Rc wa Dar es Salaam.

Kwa taarifa yako baadhi ya vyombo vya habari vinafurahi maana kun story za kuandika(hata kama zinaukakasi), na kuwa kimya kwa mamlaka zina tafsiri kwamba kisemwacho ni kweli.

Tudhubitishie tuhuma hizi ni kweli au si kweli kama Bwana yule aliyeambiwa ni Manager wa Hotel vikawekwa vyeti hadharani haraka tuhuma ikafa.
 
Ukiweka chuki na siasa pembeni Makonda ni mtu mwenye uthubutu, uwezo mkubwa sana wa kuongea na kujenga hoja , mbunifu sana katika kusaidia nchi yake
Na ukweli Dar inamhitaji sana Makonda na Makonda ni potential zaidi ya Nape kwa taifa
Ila katika swala la clouds (aliteleza ) alikosea
 
Kwani kuclear swala hili si inaonyesha vyeti basi haya huyo makonda atalindwa mpaka lini kwa style hiyo ujinga mwingine nimekubaliana nawe kimoja akili aliyoleta tatizo huwezi itumia kumaliza tatizo.
 
Hivi ukiwa hujapewa Vyeti uangalie na ukaambiwa uwasikilize wakijenga hoja SAED KUBENEA, BONIPHACE JACOB (MAYOR WA UBUNGO) na RC PAUL MAKONDA nani utasema ana ZIRO! obviousily ni KUBENEA na BONIPHACE JACOB! Je,ZIRO ya Paul Makonda haiwezi kuwa ni ya kutengeneza kwa "SPECIAL MISSION".?!
ZIRO YA Makonda ni ya kutengeneza kwa special mission!!!!???NONSENSE halafu utegemee vyombo vyao vya habari viwe vya kimataifa.Mzee tulia tuli unaugulia machungu ya kujitoa sanaaa wakati wa kampeni kwa ccm,lakini mkulu hana time na wewe.
 
WAZEE WENGINE ANAKUJA KUTULISHA MANENO YA KIJINGA SIJUWI ANAHISI TUNA AKILI ZA WATOTO WAKE ALIYO ZOWEA KUWADANGANYA !!!
 
Hii mada ilishaletwa humu JF tukaijadili kwa kirefu, kiufupi ni kwamba haina mashiko.

Mwana Usalama gani awe kwenye mission kisha asijue kuwa Cloud kuna CCTV camera, this is nonsense
 
bt sasa why asitoe vyeti akamaliza ishu yoye na akawaumbu wabaya wake?acheni mchezo wakuigiza huo...mnakaa mnapanga mnapanga tuu kwani unazani sie wajinga kiivyo.
 
Jambo moja tunaloweza kujifunza kutoka kwa Makonda aka Bashite ni ujasiri na uthubutu. He is exceptional and brilliant. Ni kichwa cha aina yake.
Hivyo, Makonda ambaye pia ni mtanzania anaongezea sifa watanzania kuwa ni watu majasiri. Makonda ni mwakilishi mzuri katika hili. Haogopi kufanya kile anachokiamini bila hata kupima madhara yake. Yeye ni results oriented, which actually is good attitude
Mkuu nakuheshimu sana usijaribu kupotosha hapa watanzania bana hizo sifa hana na ili kulijua hilo mtoe mikononi mwa Sizonje tuone kama atakuwa na huo unaoita uthubutu,anachofanya huyo bashite hata wewe ungeweza kufanya si unapewa maelekezo na mkuu anakulindaa?
 
Iwe ni kwa speacil mission or not sioni kama kuna kitu hapo cha kufanya ni kwamba Vyeti viwekwe mezani kuna watu wengi wamesoma hawana kazi ,kuna watu wengi wamekimbia kazi kwa kuelewa kwamba kuwa na vyeti feki ni kosa la jinai haiingii akilini kuwa na usalama ambaye itakua na vyeti feki.

Tusitafute kumtengebeza MTU ambaye tumeona anaharibu na anahatarisha hata usalama Wa Nchi kama tuhuma za vyeti vyake ni za uongo basi aweke mezani.

Kama tutaona Elimu haina umuhimu kuna haja ya kufuta Wizara ya Elimu na kuanzisha kitengo maalumu cha kuangalia utendaji Wa watu ili tuwape vyeti kwa kuwauzia bila kujali wameenda Shule au hawajaenda.

Ila kama Elimu bado tunaipa heshima yake basi tuachane na nadharia hizi mbovu zilizokosa uweledi na tumshinikize aweke vyeti mezani.

Huwezi ukawa unalipia watoto wako fedha nyingi waende Shule halafu unatetea ujinga Wa MTU kushindwa kujustify vyeti vyake tena MTU yuliyempa wadhifa mkubwa.

Halafu kuna sehemu unazungumzia wasomi kufuga kuku changanyikeni wasomi wengi hawawezi kuanza kusumbuana na watu Wa aina ile ya kushindwa kutoa vyeti na kujipendekeza hivyo hujikita kwenye maswala binafsi kama ya ufugaji na kilimo.

Kumbuka kwamba hakuna jipya hata wasomi Wa Dunia ya kwanza hufanya shughuli hizihizi ila hufanya kisasa.

Vyeti kwanza mengine baadae
 
Albert Einstein alipata kusema kuwa akili iliyotumika kutengeneza tatizo haiwezi kutumika kutatua tatizo hilo.NDUGU WATANZANIA TUTAMBUE KUWA VITA DHIDI YA MADAWA YA KULEVYA NI NGUMU KULIKO TUNAVYOFIKIRIA na kama unabisha kamuulize JAKAYA MRISHO KIKWETE au WILLIAM LUKUVI.
Unayepiga kelele bila kuruhusu kichwa chako kufanya kazi piga tu kelele LAKINI TAMBUA KUWA yawezekana unapiga kelele bila kujua kuwa wewe ni sawa tu na MBUZIaliyeko kwenye banda la mpika supu!"

Tunataka vyeti basi. Na pia lile la Clouds ni uhalifu kama jinai nyinginezo.

Hayo mengine ni mbwembwe tu za Koromije na Chattle.
 
Back
Top Bottom