NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,818
- 20,719
Kweli chamani Kuna manyanyaso!
Makonda na Bashe wananyanyasana Dana!
Makonda na Bashe wananyanyasana Dana!
Machadema yanajifanya kususia mazishi. Yaani majamaa yana roho mbaya sana😥Hukumuona Samiah anamlilia CDF aingilie kati ichaguzi wa 2025?
R.I.P Laigwanan EL
Hili jambo huwa nalisema Kila siku huku, ni aidha machafuko, ama mapinduzi ya kijeshi. Kinyume na hapo ni kwenda kupoteza muda kwenye mstari wa kura kuwa inachagua kiongozi. Na udhibitisho wa uhuni kwenye chaguzi zetu, ni hii miswaada ya uchaguzi iliyopelekwa bungeni hivi karibuni.CCM KUACHIA MADARAKA INATAKA MACHAFUKO NDIO JIBU LAO
🤣🤣kamanda we huwezi chafua kitu bana wala hayupo wa kuchafua chochote TZ acha kutufanya tushindwe kujizuia kucheka kwa mikwara yako ya vichekesho, watu tunaomboleza muda huu...Machafuko tu ama mapinduzi ya kijeshi ndio yataleta mageuzi ya kweli hapa nchini. Tunaposema uchaguzi hapa nchini ni maonyesho ya ujinga wa mtu Mweusi kwenye box la kura hatukosei. Wafaidika wa huo mfumo ndio hao wanaanza kukiri hadharani kilio chetu Cha muda mrefu. Na yule muhalifu naye Jana anasema watu wasiende mahakamani maana huko hakuna uwezekano wa kupata haki. Ila wanaccm walikuwa wanasema kama cdm wanaona wameibiwa uchaguzi waende mahakamani!
Lucas mwashambwa
Mrema alipomshinda Mkapa uchaguzi ulifutwa na CCM ikaamuru urudiwe kwa mafungu, hata hivyo uliyeyukia njiani bila kupata matokeo baada ya watu kususa.Mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania Anna Tibaijuka, ametoa pole kwa familia ya aliekuwa Waziri Mkuu Edward Lowassa.
"Familia Lowassa poleni. Taifa twaomboleza kifo cha Kiongozi STATESMAN. Nilishuhudia ukiweka maslahi ya nchi mbele ya yako. Jina lilipokatwa nilikushauri ubaki CCM kimfumo uwezekano kutangazwa mshindi ukitokea upinzani HAUPO Ukanijibu "UNAJUA ila hutaki MANYANYASO kuendelea. RIP" - Anna Tibaijuka
View attachment 2900766
Written by Mjanja M1 ✍️
Hata akina Mobutu walikuwa hawatangazi Washindi katika Boksi la Kura lakini hatimae Waliondolewa kwa Mtutu wa Bunduki.
Fact
Ulitaka nilegeze ili nijambe?
Eti mtutu wa bunduki! Umekaza na sauti kabisa!
CCM KUACHIA MADARAKA INATAKA MACHAFUKO NDIO JIBU LAO
Katika nchi ambako chama tawala na usalama wa taifa ni kitu kimoja au vins uhusiano wa karibu, hali ndiyo hiyo. Itachukua muda kutenganisha vyama vya siasa na vyombo vya usalama - usalama wa taifa, jeshi, polisi nkMwanasiasa mkongwe nchini Tanzania Anna Tibaijuka, ametoa pole kwa familia ya aliekuwa Waziri Mkuu Edward Lowassa.
"Familia Lowassa poleni. Taifa twaomboleza kifo cha Kiongozi STATESMAN. Nilishuhudia ukiweka maslahi ya nchi mbele ya yako. Jina lilipokatwa nilikushauri ubaki CCM kimfumo uwezekano kutangazwa mshindi ukitokea upinzani HAUPO Ukanijibu "UNAJUA ila hutaki MANYANYASO kuendelea. RIP" - Anna Tibaijuka
View attachment 2900766
Written by Mjanja M1 ✍️
Tibaijuka is so wrong for distracting the conversation from mourning to an overly controversial topic, complete with Lowassa's words, when Lowassa is not even here to clarify his side.
I am noticing a lack of social graces amongst Tanzanians, regardless of status.
From the common hustler on the streets to our so called esteemed leaders and people of eminent stature.
How does one go from "poleni familia" to that raggedy in less than 60 seconds?
There is a time and place for everything.
Where is your savoir faire Dr. Tibaijuka?
Zodumu fikra za Chifu Hangaya!Ikiwa Hilo ni Kweli, kwanini hamtaki Tume huru ya Uchaguzi na KATIBA mpya?
Swali muhimu kuelekea uchaguzi,
CCM itakuja na mgombea Bora 2025 au Bora mgombea?
Machafuko tu ama mapinduzi ya kijeshi ndio yataleta mageuzi ya kweli hapa nchini. Tunaposema uchaguzi hapa nchini ni maonyesho ya ujinga wa mtu Mweusi kwenye box la kura hatukosei. Wafaidika wa huo mfumo ndio hao wanaanza kukiri hadharani kilio chetu Cha muda mrefu. Na yule muhalifu naye Jana anasema watu wasiende mahakamani maana huko hakuna uwezekano wa kupata haki. Ila wanaccm walikuwa wanasema kama cdm wanaona wameibiwa uchaguzi waende mahakamani!
Lucas mwashambwa
Kizazi hiki tulichopo sasa hakuna mwenye uwezo wa kuleta wala kuthubutu kuanzisha hayo machafuko, Alhamdulillah.
Na hakuna sehemu machafuko yamewahi kuwa suluhisho la kisiasa zaidi ya kuwa ni faida kwa wanasiasa wenyewe na wafanya biashara.
Kukaribisha machafuko ni kukaribisha roho ya umauti ambayo itadumu kizazi na kizazi na kuleta maafa hata yasioonekana kwa macho ya nyama. Ni laana kusababisha umwagikaji wa damu, hata ya adui.
Kuhusu Mahakama za Tanzania kuoza kwa rushwa na upindishwaji wa sheria hilo wala sio habari.
Amefanya kurudia tu maneno ya viongozi wengi tu kabla yake na wengine mpaka wakashauri sheria zetu na hukumu zetu ziwekwe kwenye lugha ya Kiswahili ili tu kukabiliana na huo ukiritimba.
Labda tujiulize tu Mbona yeye hajaambiwa kufuta kauli yake Kama Rostam? Ama wanasubiri maombolezo yapite?