Uchaguzi 2025 Anna Tibaijuka: Kimfumo uwezekano wa kutangazwa mshindi ukitokea upinzani haupo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
4,025
14,212
Mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania Anna Tibaijuka, ametoa pole kwa familia ya aliekuwa Waziri Mkuu Edward Lowassa.

"Familia Lowassa poleni. Taifa twaomboleza kifo cha Kiongozi STATESMAN. Nilishuhudia ukiweka maslahi ya nchi mbele ya yako. Jina lilipokatwa nilikushauri ubaki CCM kimfumo uwezekano kutangazwa mshindi ukitokea upinzani HAUPO Ukanijibu "UNAJUA ila hutaki MANYANYASO kuendelea. RIP" - Anna Tibaijuka

Screenshot_20240211-150755.jpg

==============For English Audience Only============
Anna Tibaijuka, a veteran politician in Tanzania, has extended her condolences to the family of the late former Prime Minister, Edward Lowassa. She expressed her sorrow and described Lowassa as a statesman who always prioritized the interests of the nation over personal gains.

In her message, Tibaijuka recalled advising Lowassa to remain within the ruling party, CCM, because the possibility of an opposition candidate being declared the winner was nonexistent within the system. Lowassa's response was that he understood but did not want to continue facing mistreatment. She concluded her message with "Rest in Peace" to honor the late leader's memory.
Written by Mjanja M1 ✍️
 
Mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania Anna Tibaijuka, ametoa pole kwa familia ya aliekuwa Waziri Mkuu Edward Lowassa.

"Familia Lowassa poleni. Taifa twaomboleza kifo cha Kiongozi STATESMAN. Nilishuhudia ukiweka maslahi ya nchi mbele ya yako. Jina lilipokatwa nilikushauri ubaki CCM kimfumo uwezekano kutangazwa mshindi ukitokea upinzani HAUPO Ukanijibu "UNAJUA ila hutaki MANYANYASO kuendelea. RIP" - Anna Tibaijuka

View attachment 2900766

Written by Mjanja M1 ✍️
Huu ndio ukweli mchungu ambao unawatesa upinzani.
Tusahau #KatibaMpya ya wananchi (version ya mzee Warioba).

Ni kuweli kwamba kuna familia za wakubwa zilikuwa zimepanga tangu kipindi cha MMshua wa MMsoga kupeana vijiti kwenye uRais.
Mambo yaliharibika baada ya kusalitiana. Aliyeshinda 2015 nae akaanza kupanga mstari wake wa kurithishana uRais, bahati mbaya mipango ikaishia njiani baada ya kutwaliwa.

Baada ya kuingia mama pande hizi mbili (msoga vs chato) zinasigana haijulikani kitakachotokea. Tuwaombee tu wenye uchu wa madaraka wasimalizane.
 
Mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania Anna Tibaijuka, ametoa pole kwa familia ya aliekuwa Waziri Mkuu Edward Lowassa.

"Familia Lowassa poleni. Taifa twaomboleza kifo cha Kiongozi STATESMAN. Nilishuhudia ukiweka maslahi ya nchi mbele ya yako. Jina lilipokatwa nilikushauri ubaki CCM kimfumo uwezekano kutangazwa mshindi ukitokea upinzani HAUPO Ukanijibu "UNAJUA ila hutaki MANYANYASO kuendelea. RIP" - Anna Tibaijuka

View attachment 2900766

Written by Mjanja M1 ✍️
R.I.P Laigwanan EL
 
Back
Top Bottom