Anna Tibaijuka: Dubai ni Mshindani Wetu kwenye kuendeleza Transhipment potential, tukimkabidhi Bandari zote ni sawa na Kujinyonga!

Swali fikirishi je mfumo wetu wa uchumi wanasiasa wanaruhusiwa kuuchezea?, je tunao mfumo wa uchumi unaoeleweka. Are politicians allowed to temper with National economy?, do we in Tanzania have a format of National economic system ?, if yes, the question is this are politicians in Tanzania allowed to temper with the National economy
Tafadhali swali liulizwe kama Tanzania tuna "national economic strategy" au "policy" siyo "economic format".
 
Muone, eti wakishajilipa say 30 years!, kwa hiyo wewe ndie unawapangia waarabu watunyonye kwa muda gani?

Sasa hawataki hiyo 30 unayotaka wewe, wao wanataka milele, tuambie utawafanyaje?
Watanzania tunahitaji elimu ya mikataba, huu ni mkataba wa invest and operates until the return of investment, kutokana na the volume of transactions za Bandari yetu ni low, ili DPW aweze kufanya investment ya maana, he needs to invest huge investment, sasa ili hii huge investment ilipe, lazima kuwapo na gestation period ndefu ya let's say 30 years!.

Kwa vile HGA bado, nashauri subiria terms za HGA ndipo tuendelee kujadili.
P
 
Nisubiri kitu gani wakati mkataba umeshakuwa unatekelezwa tangu October 2022?

Hiyo miaka yako 30 unaiweka kwa mapenzi yako tu, niambie umeiona wapi kwenye yale makubaliano yaliyowafanya DP World waanze utekelezaji wao tangu mwaka jana?

Kwenye yale makubaliano ya mwaka jana, Article 23 inazungumzia duration and termination, ambapo hapo hawajaweka muda maalum wa kwisha mkataba, kama ni miaka miwili, tatu, tano, kumi au 100..

Wao wamezungumzia tu kwamba, mkataba unaweza kwisha pakiwepo na permanent cessation of all project activities, sasa hebu niambie, hizo project activities zinaweza seize vipi? au mpaka pale maji ya bahari na maziwa yatapokauka?!

Ok, bado kipengele kidogo cha kwanza kwenye hiyo article 23 niliyokupa kinasema, mwarabu anaweza kuamua kuendelea kuwepo akiona bado anacho cha kuvuna, hata kama maji ya bahari na maziwa yatakauka!.
 
Prof Anna Tibaijuka anasema Dubai ni Mshindani Wetu kwenye kuendeleza Transhipment potential so tukimkabidhi Bandari zote ni sawa na Kujinyonga

Tibaijuka anasema kupitia Ukurasa wake wa twitter kwamba bado ana Imani Mkataba Huo wa DP World utarekebishwa kwa kutumia Wataalamu Wetu wa Uchumi

Mlale unono!
Djibuti wamejinyonga? Profesa kachokaaa. Awaache DP watanue ili wapenda maendeleo tutamani.
 
Prof Anna Tibaijuka anasema Dubai ni Mshindani Wetu kwenye kuendeleza Transhipment potential so tukimkabidhi Bandari zote ni sawa na Kujinyonga

Tibaijuka anasema kupitia Ukurasa wake wa twitter kwamba bado ana Imani Mkataba Huo wa DP World utarekebishwa kwa kutumia Wataalamu Wetu wa Uchumi

Mlale unono!
Ni profesa ndio maana kaona mbali kabisa. Ujinga na uroho wa vigogo utatupotezea taifa.
 
Nisubiri kitu gani wakati mkataba umeshakuwa unatekelezwa tangu October 2022?

Hiyo miaka yako 30 unaiweka kwa mapenzi yako tu, niambie umeiona wapi kwenye yale makubaliano yaliyowafanya DP World waanze utekelezaji wao tangu mwaka jana?

Kwenye yale makubaliano ya mwaka jana, Article 23 inazungumzia duration and termination, ambapo hapo hawajaweka muda maalum wa kwisha mkataba, kama ni miaka miwili, tatu, tano, kumi au 100..

Wao wamezungumzia tu kwamba, mkataba unaweza kwisha pakiwepo na permanent cessation of all project activities, sasa hebu niambie, hizo project activities zinaweza seize vipi? au mpaka pale maji ya bahari na maziwa yatapokauka?!

Ok, bado kipengele kidogo cha kwanza kwenye hiyo article 23 niliyokupa kinasema, mwarabu anaweza kuamua kuendelea kuwepo akiona bado anacho cha kuvuna, hata kama maji ya bahari na maziwa yatapokauka!.
Huyu mama sijui nani kamwambia madaraka yake ni absolute kama yule mfalme wa dubai. Huu mkataba sio wa kuanza kufanya kazi. Ni mkataba wa ovyo kabisa. Waite concession sijui nini hizo ni jargon tu za kisheria. Tutakaposema no utaona watageuka na kudai bandari kama wana kaki nazo kuliko sisi tunaosema bandari ni zetu.
 
Ndio madhara ya kutoa madaraka makubwa kwa akili ndogo, sasa ndio tunavuna tulichopanda, hata kama Katiba ndio imemuweka pale juu.
 
No hawatukopeshi, bali watainvest, na kuendesha, watakata chap na kutupa chetu, wakiisha jilipa say 30 years, watatuachia.
P
Huu mkataba ulikuwa WA bandari ya Dar yote Ila baada ya kelele naona mbalawa na Dada yake wakajiongeza wakaenda kufanya marekebisho uonekane Ni wa magati Saba tu, sasa jiulize wakiweka mitambo ya kisasa kwenye hayo magati Saba maana yake Ni kuwa kwenye magati yetu Sisi yatakosa meli na ushindani baina ya serikali na DP utaanza.

Yaani Ni mfano unanyumba yako alafu ina flemu za maduka alafu umemkodishia mchaga anakulipa Kodi Ila na wewe una duka lako hapo alafu wateja wengi wanaenda Kwa Mangi Kwa Sababu analugha ya biashara,vitu og, na anapunguzo unadhani utafurahia.

Hapa tunalishwa matango poli kama wanaweza wawekeze pote alafu 70%serikali na 30%Dp na masuala ya ulinzi na Kodi libaki serikalini au watukopeshe hizo pesa hata kama 10t alafu tufunge hiyo mitambo tuwalipe.
 
Prof Anna Tibaijuka anasema Dubai ni Mshindani Wetu kwenye kuendeleza Transhipment potential so tukimkabidhi Bandari zote ni sawa na Kujinyonga

Tibaijuka anasema kupitia Ukurasa wake wa twitter kwamba bado ana Imani Mkataba Huo wa DP World utarekebishwa kwa kutumia Wataalamu Wetu wa Uchumi

Mlale unono!
Jo upo ukweli kwenye hilo,soko la mafuta yake alisha liona na pia mradi wa bomba la Hoima bye bye .
 
Prof Anna Tibaijuka anasema Dubai ni Mshindani Wetu kwenye kuendeleza Transhipment potential so tukimkabidhi Bandari zote ni sawa na Kujinyonga

Tibaijuka anasema kupitia Ukurasa wake wa twitter kwamba bado ana Imani Mkataba Huo wa DP World utarekebishwa kwa kutumia Wataalamu Wetu wa Uchumi

Mlale unono!
Huyu mama is clver ila kuna nyakati huwa anayumba sijui nani humfanyia ubaya
 
Back
Top Bottom