johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 92,471
- 161,148
Dada yake Karamagi anaupiga mwingi, ni bora angetumia usmart wake kuwaleta maendeleo wana BK kuliko kuwahadaaAnna anasema ukweli,na hana sababu ya kujipendekeza kwa Samia.Anna ni smart sana kuliko Samia.
Wale wale tuHuyu Profesa...Milioni 10 pesa ya mboga.
Prof. Tibaijuka
alipokuwa madarakani alitaka kuuza sehemu ya Kigamboni kwa mwekezaji,kwa ajili ya Mradi wa Kigamboni New City project.
Magufuli aliufuta.Mradi.
Kweli ..Nyani haoni.... Kun***Wale wale tu
Kelele nyingi kisa wakati umemtupa mkono
Swali fikirishi je mfumo wetu wa uchumi wanasiasa wanaruhusiwa kuuchezea?, je tunao mfumo wa uchumi unaoeleweka ambao serikali hata mpya itautumia? ama ndiyo huo wa kwenye kijaruba, (brief case bag) ya waziri wa fedha? . Are politicians allowed to temper with National economy?, do we in Tanzania have a format of National economic system ?, if yes, the question is this are politicians in Tanzania allowed to temper with the National economyProf Anna Tibaijuka anasema Dubai ni Mshindani Wetu kwenye kuendeleza Transhipment potential so tukimkabidhi Bandari zote ni sawa na Kujinyonga
Tibaijuka anasema kupitia Ukurasa wake wa twitter kwamba bado ana Imani Mkataba Huo wa DP World utarekebishwa kwa kutumia Wataalamu Wetu wa Uchumi
Mlale unono!
Mama wa hela ya mboga umerud?Prof Anna Tibaijuka anasema Dubai ni Mshindani Wetu kwenye kuendeleza Transhipment potential so tukimkabidhi Bandari zote ni sawa na Kujinyonga
Tibaijuka anasema kupitia Ukurasa wake wa twitter kwamba bado ana Imani Mkataba Huo wa DP World utarekebishwa kwa kutumia Wataalamu Wetu wa Uchumi
Mlale unono!
DPW hatakabidhiwa Bandari zote, wala Bandari yoyote, watakabidhiwa tuu zile Beth za makontena zilizokuwa chini ya Ticks kwenye Bandari moja tuu ya Dar es Salaam, hivyo tutakuwa free kuendeleza Bandari yetu ya Bagamoyo na Mchina.Prof Anna Tibaijuka anasema Dubai ni Mshindani Wetu kwenye kuendeleza Transhipment potential so tukimkabidhi Bandari zote ni sawa na Kujinyonga
Tibaijuka anasema kupitia Ukurasa wake wa twitter kwamba bado ana Imani Mkataba Huo wa DP World utarekebishwa kwa kutumia Wataalamu Wetu wa Uchumi
Mlale unono!
Jadili hoja yake aliyotoa acha akili za kizamaniHuyu Profesa...Milioni 10 pesa ya mboga.
Prof. Tibaijuka
alipokuwa madarakani alitaka kuuza sehemu ya Kigamboni kwa mwekezaji,kwa ajili ya Mradi wa Kigamboni New City project.
Magufuli aliufuta.Mradi.
Acha akili za kimasikiniJadili hoja yake aliyotoa acha akili za kizamani