Watoto wa bata hulazimika kutangulia mbele ili kuwahi chakula, maana mama bata huwa anagombea chakula na watoto kinyume na mama kuku anayehangaika mpaka kujiridhisha watoto wake wapate kula, CHUNGUZA.
Umefiriki nilivyokuwa nikifikiri
Hekima tunayoipata hapa ni
Bata ni kiongozi, kuku ni mlizi
Funzo
Hekma tunayojifunza hapa ktk kuongoza familia zetu inatupasa kuiga ungozi Wa bata watoto wanapaswa kukufuata ww mzazi na sio mzazi kuwafuata watoto kama kuku.
Na ktk kulinda familia zetu inatupasa kuzilinda kama kuku, hii itakufanya uweze kujua watoto wote wamerudi nyumbani na wapo salama. Ktk mfumo Wa ulinzi Wa bata tukiuleta ktk mfumo Wa maisha ya mwanadamu hautokuwa mzur maana hata watoto wasipo kuwa nyumbani mzazi hutoweza kufaham
Katika maelezo yako hujakusa mfumo upi ni salama zaidiKwanza nimesahihisha hapo juu,
Naam!
Ni kua Bata kutangulia mbele yeye watoto kumfata, ni ishara ya uongozi bora wa familia, mzazi unapaswa kucontrol familia yako, watoto wakufate wewe kwa kila kitu, uwaelekeze kila jambo, na kwa kua wanakufata wewe, ukipoteza muelekeo nao watakufata, so utakua makini katika njia zako siku zote.
Kuku kutanguliza watoto mbele yeye kuja nyuma ni ishara ya uongozi dhaifu, mzazi unakua unaongozwa na watoto, watoto wakienda huku huna budi kuwafata badala ya wao kukufata wewe,tumeona familia kadhaa watoto ndio wenye sauti kuliko wazazi.
Ahsante.
Wote wako sawa, ila kitu cha kuzingatia kwa wote ; mosi; flexibility ya kukabiliana na maadui watakaoshambulia uzao wao, pili,assurance of security, anayewacha watoto wake nyuma may be, anauhakika wa alikotoka kuko secure na hivo hana uhakika wa anakoenda ndiyo maana anatangulia ili kukabiliana na adui aliyoko mbele. vise versa (mtazamo tu)