econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,188
- 29,645
Kesi ya Jinai haiozi hata baada ya miaka 20 inawezekana akaja DDP mwengine akaifufua kesi na ikaanza upya.
katika Hatua hii mbowe hajashinda kesi bali mashitaka yameondolewa dhidi yake, hivyo yanaweza kurudishwa tena.
jambo la msingi hapa ni Mbowe kubadilika na kuachana na vitendo vya kihalifu.
Miaka 20 unaifufuaje kesi?. Naona umeumia mashtaka kufutwa. Kesi huwa haifufuliwi, Bali inaanza upya.