Aneth Msuya ambaye ni dada wa bilionea Erasto Msuya auawa kinyama Dar

Yani hao wauaji ni zaidi ya shetani.....huyo binti ni ndogo sana kma walitaka pesa wangechukua n kusepa sio kufanya unyama huo....cjui hali ya mama yke mana inaweza ikatoa uhai wake ndio lastborn wake na akijumlisha maumivu ya erasto chochote kinaweza kutokea
 
Hebu Fanya kuweka kumbukumbu sawa, huyo erasto ni nani na alipigwa risasi na nani na kwa sababu ipi? Huyu Dada yake aliyechinjwa unaweza kuhisi sababu ipi ilifanya auawe kikatiri hivyo?
 
Je kuna yeyote anaejua sababu iliyopelekea kutoka kwa mauaji hayo,nalaani kitendo hicho binadamu tumefika pabaya sana
 
Hebu Fanya kuweka kumbukumbu sawa, huyo erasto ni nani na alipigwa risasi na nani na kwa sababu ipi? Huyu Dada yake aliyechinjwa unaweza kuhisi sababu ipi ilifanya auawe kikatiri hivyo?
Wachana na ukondakta Mkuu (avatar yako) ... Kifo cha billionaire Erasto huko Myererani kilizungumzwa sana humu ndani... Nenda kwenye search utapata taarifa..
 
Mauaji kwa Tanganyika Ni kawaida sana sahivi, Ila Kama mambo Haya yangetokea upande wa Zanzibar ungeambiwa magaidi Na serikali inazembea, Hapa sahivi watu wanaandika pongezi tuu Za " so sad" bad news" hawana hata maneno. Watanganyika fitna sana, Na kila mukiviombea visiwa vya Zanzibar vipate majanga Bara Ndio yanaibuka mauaji tena ya kikatili kila siku.

Musipende kuwanyoshea wenzenu vidole wakati bado dunia hii haijamaliza kuumbwa. Majanga yote yako Bara Zanzibar Ni salama sana. Tena Ni sehemu yenye Amani kuishi.

Mnadiriki kuchinjana Kama Sio watu, dah hivi munaishi kwa DINI gani?
 
Wakuu hii ni zaidi ya unyama sasa! Nayapatia picha maumivu ya wazazi wa Erasto na Binti huyu. Khaaa!!

R.I.P Annetha
 
na Mungu atusamehe, BINADAMU tumekuwa na roho mbaya sana, unaweza ukawa unacheka na MTU kumbe hujui moyoni anakuwazia nini...Pole sana mtoto Mungu ni mwema na atalipa maumivu yako badala yako
 
Haka kawimbo sijui nani waliimba, sijui Ni OTTU au Msondo Ngoma! Nakapenda sana, Chorus nakumbuka inasema.....
"Tunatoana roho yarabi hiiihiiii kwa Mali alizoacha "Baba" (imba Kaka).. ..
Mwenyeji Mungu ampumzishe huyo mrembo panapostahiri..

Naimani kubwa jeshi letu litawakamata wote waliohusika na Unyama huo! Vifo vya namna hii si tu vinasikitisha ila vinatia hasira!!!!
Wanagombea Mali kwani?!
 
Back
Top Bottom