Kama haitengenezeki tupa nunua nyingine, unataka kukaa na simu mpaka wajukuu waje kurithi?Habari Wakuu,
Kama ilivyo kwa simu za Google Pixel 4a na 4a 5G kuzima ghafla, pindi unapozipeleka kwa fundi jibu linakuwa kuwa "mashine imekufa." Niko na Google Pixel 4a 5G ambayo imezima ghafla, na nilipopeleka kwa fundi, jibu lilikuwa kama kawaida: mashine imekufa.
Ikiwa kuna JF member mwenye utaalamu wa kutengeneza mashine za Google Pixel, ajitokeze ili niirekebishe na kujua chanzo halisi cha tatizo hili la kuzima ghafla.
Ova
Wachache wanaelewa mkuu ila wengi wanaropoka bila ufahamuNi Kweli Pixel Zinazima mimi hapa Pixel 7 imezima yenyewe Circuit mbovuView attachment 3144335
Sahihi mi sina shida ya kuitumia mkuu target ni kuuza ,simu yakutumia ipoKama haitengenezeki tupa nunua nyingine, unataka kukaa na simu mpaka wajukuu waje kurithi?
Ifunge vizuri hiyo simu andika barua iambatanishe simu na hiyo barua wapelekeee makao makuu ya kampuni yao huko nje ya Tanzania. Unaweza kutengezewa au kuletewa nyingine. Wana budget nzuri za customer care. Kwa haoa Tanzania utajihangaisha tu. Tumia posta tu sehemu ya vifirushi. Hakikisha unaweka vizuri anuani yako. Ukishituma usijiumize moyo, subiri matkeo, nunuwa simu nyingine.
kama haufahamu namn ya ya kuiandika hiyo barua weka details, uliinunuwa lini, uliinunuwa mpya au imeshatumika? Mimi najitolea kukuandikia hiyo batua, sehemu za dots dots utajaza mwenyewe.
Changamjia fursa hii.
Unataka kutushkisha siyo?Target ni kuiuza na sio kutumia ,mi so mpenzi wa google
Mmmh! Mbona kama ni ina maana moja, used then refurbished? Inatumika inapigwa msasa inauzwa tena eaaaasyKariakoo watu wanapigwa sana na ile kauli ya Used from dubai, kumbe ni refurbished phones.
Nimecheka japp kwenye charging systemNielezee kwa kifupi
Simu haiwezi kufa mashine yaani circuit, kufa kwa mashine ni iwe imevunjika kabisa.
Ni hivi.
Mashine(circuit)ni muunganiko wa components mbali mbali mfano capacitor, resistor, diode na IC. Sasa kinachotokea Ni kwamba utakuta kuna kitu kimojawapo kati ya hivyo nilivyovitaja vimepata short au zimefail kufanya kazi hivo inapelekea mfumo wa saket kutokukamilika, na hapo ndipo simu itakapogoma kuwaka.
Sasa tatizo linakuja kuwa ni hawa mafundi wanakuwa hawana uwezo wa kugundua kuwa ni kipi kimefail ambacho kinafanya saket isikamilishe mzunguko. Huu utambuzi pamoja na utatuzi unahitaji vifaa na elimu kitu ambacho mafundi wetu hawana, sasa ndipo hili la saket/mashine imekufa linatpotokea kwahiyo unatakiwa ubadili mashine.
Kumbe ni ki diode tu kidogo kama sisimizi ndo kilichozingua.
Mafundi wengi Ni waongo hawaelewi hata concept ya hardware wanachoweza ni kubadili tu vi spear kama vioo, betri na charging port tena wenyewe wanasema charging system.
natumia hapa baada ya kioo kutakiwa kubadilishwa ilibidi niagize Dubai simuyote ikafungwa kioo napo baada ya kutonywa na mdau.....ukirudi kesho mashine utaambiwa imezimaVp unaexperience nazo au unaongea tu kutokana na story za jaba za kitaa
SawaMmmh! Mbona kama ni ina maana moja, used then refurbished? Inatumika inapigwa msasa inauzwa tena eaaaasy