contask
JF-Expert Member
- Jan 3, 2021
- 721
- 1,453
Habari Wakuu,
Kama ilivyo kwa simu za Google Pixel 4a na 4a 5G kuzima ghafla, pindi unapozipeleka kwa fundi jibu linakuwa kuwa "mashine imekufa." Niko na Google Pixel 4a 5G ambayo imezima ghafla, na nilipopeleka kwa fundi, jibu lilikuwa kama kawaida: mashine imekufa.
Ikiwa kuna JF member mwenye utaalamu wa kutengeneza mashine za Google Pixel, ajitokeze ili niirekebishe na kujua chanzo halisi cha tatizo hili la kuzima ghafla.
Ova