Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 2,244
- 1,245
Let me reserve my comment
Let me reserve my comment
Kwa hiyo wewe ndio ulitumia moyo badala ya kufikiri au bado unaendelea kuhamisha magoli ambapo huwa unamtaja hadi Andambwile kukosekana. Uto ni uto.Tuwaombee Mzize, Boka, Aucho na Job wapone haraka majeraha yao. Hawa pamoja na Bacca na Yao ndio UTI wa mgongo wa beki ya Yanga. Hata hivyo nadhani Yanga wamekosea pia kuachana na Gamondi.
Kikosi cha Yanga hakuna mbadala wa halid Aucho, Job, na Boka. Hawakuwepo aisei. Andabwile na Fred Gift wangekuwepo huenda wangesaidia jambo baada ya kuwakosa hawa.Kwa hiyo wewe ndio ulitumia moyo badala ya kufikiri au bado unaendelea kuhamisha magoli ambapo huwa unamtaja hadi Andambwile kukosekana. Uto ni uto.
Kale kawimbo ka Yanga imeshuka kiwango kameanza kufifia huko kwa wachambuzi uchwara.Sema tu Yanga kwa sasa tumeanza kukumbwa na wimbi la majeruhi! Alianza Yao Kwasi, na leo Boka na Kibabage nao wameshindwa kumaliza mchezo.
Hii hali haitakiwi kuendelea. Maana inaweza kuathiri timu siku za usoni.