Anayejua michezo ya Bolt kuongeza bei aniambie

Maleven

JF-Expert Member
Sep 8, 2019
638
2,951
Wakati na request bolt bei ilokuja ni 15, 000 tunafika destination risiti inasoma 21,000 tumebishana sana ila kwakuwa nilikuwa na mgojwa wa nikaitoa hiyo hela, haijawahi kutokea hii mara zote nilizorequest bolt,

Je kuna vijana wanafanya uhuni? Naomba shule katika hili
 
Kiongozi samahani nakukumbuka Mimi Ndie niliekubeba Leo. Bei Elekezi ni 15k ila nilikuchezea game tu maana nadaiwa rejesho.

suala dogo tu umeleta jamvini kweli
 
Wakati na request bolt bei ilokuja ni 15, 000 tunafika destination risiti inasoma 21,000 tumebishana sana ila kwakuwa nilikuwa na mgojwa wa nikaitoa hiyo hela, haijawahi kutokea hii mara zote nilizorequest bolt,

Je kuna vijana wanafanya uhuni? Naomba shule katika hili
Nimekuwa mtumiaji wa bolt muda mrefu kidogo, hii inatokana na mambo matatu;
1. Dereva kuchagua route tofauti na ambayo imeoneshwa kwenye ramani (inaweza kuwa ndefu)

2. Traffic jam ambayo inasababisha kuchelewa kufika kutokana na muda uliokadiriwa

3. Kughairisha route/dereva mara kwa mara, ni pale ume-request halafu ukaona derera kachelewa, unaamua ku-cancel na kutafuta dereva mwingine, au dereva anakwambia wewe abiriq u-cancel route, hii itakusababishia "penalt" ambayo utailipa kwenye malipo ya route.
 
Shukran, ila yafaa iwe wazi, sio mnafika ndo kuongeza bei
 
Huu utaratibu na ustaarabu haukupaswa utumike hapa Tanzania kwasababu kila mtu ni mwizi,si abiria wala dereva wote ni majizi.Abiria sehemu ya umbali mrefu atataka akulipe kinyonyaji na dereva nae sehemu ya ruti fupi atahakikisha anafanya mafekeche akupige pesa ndefu,hii ndiyo Tanzania nchi iliyojaa wendawazimu isipokuwa mimi na ukoo wangu

Ustaarabu huu kwa wenzetu umewezekana kwasababu hakuna njaa na kila kitu kiko mahala pake,hakuna wizi wa kijinga jinga.

Unakuta Dereva kapewa gari na tajiri na kila siku anapaswa apeleke elfu 30 - 35,Bado hapo hajaweka wese,bado hapo hajapata posho yake ya siku nzima,bado hajasumbuliwa na wazee wa naya kung'arishia viatu,bado hajasumbuliwa na wazee wa parking,unadhani kwanini asifanye ulaghai kama huu ili asavaivu?

Mifumo na Ustaarabu huu kwa Tanzania bado sana na kinachosababisha watu kutokuwa waaminifu ni njaa na tamaa.

Mfano mdogo tu nenda katazame pale Mwendokasi,yaani zile mashine za kuskani kadi hazifanyi kazi na yote hii ukiuliza hutapewa jibu la kueleweka ila ukiwa mtu mwenye akili timamu utajua tu mambo ni mawili 1.WIZI 2.TAMAA

Afrika espeshali Tanzani huwa tunakurupikia mambo ambayo hatuna uwezo nayo,ndiyo maana kauli yangu ya siku zote ni ileile ya kwamba " AFRIKA NA WAAFRIKA WANA LAANA YA MILELE"

Sitokaa niibadirishe hii kauli hadi nakufa
 
Sidhani kama abiria anaiba, uki request bolt, unaoneshwa bei ya boda, bajaji na gari ndogo kwa mujibu wa sehemu ulipo na unapokwenda,

Sasa we abiria ushapanga bajeti kua ni 15000, then from nowhere unafika destination unaambiwa hela imezidi,
Hapa abiria anashida gani?
Nataka nijaribu indrive nione
 
Pole sana mkuu. Kuna mbinu nyingi za kumuibia mteja:

1. Kuweka "power save mode" kwenye simu. Dereva akiweka GPS inakua inaccurate kwahiyo inaweza onesha route mmefika hadi Kibaha.

2. Kupita njia ndefu, tofauti ya iliopendekezwa na App.

3. Kupoteza muda mwingi njiani kwahiyo kama App ilikadiria mtatumia dakika 20 ila mkatumia 35, pesa itakua juu kiasi.

4. Kupitisha njia yenye kulipia (Hii sio common, ila kuna watu wanatabia wanaita Bolt wakiwa ndani ya jengo la Mlimani City mfano, kwako itasoma 2000 ila ukifika unakuta 3000, hapo ukisoma mchanganuo kwenye risiti unakuta 1000 umelipia kiingilio wakati unakuta dereva ulimkuta kwa nje).
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom