pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,367
- 6,042
- Thread starter
- #41
Kwanini lakini?Ukitaka mwanao aje kuishi maisha magumu muandike kazaliwa nje ya nchi... Sasa wewe jifanye mjuaji andika kazaliwa Kenya
Kwanini lakini?Ukitaka mwanao aje kuishi maisha magumu muandike kazaliwa nje ya nchi... Sasa wewe jifanye mjuaji andika kazaliwa Kenya
Endelea kusema kweli mkuu tena kila mahali hasa ukiwa na mkeo utapata majibu. Kuna siku utajua kwanini Ibrahim alimwambia mkewe adanganye kuwa yeye ni dada yake kule kwa mfalme wa Canaan.Akili ya kusema uongo?
Nitasema ukweli daima, uongo kwangu mwiko
We chawa kumbe ulikua Kenya ndo maana tulipumzika humuMwanangu amezaliwa Kenya na mama Mkenya ila mie ni Mtanzania alienda tu kwao kujifungua sasa amerudi home leo ni mwaka mmoja tayari,
Nimeenda rita wamesema siku hizi unaomba cheti cha kuzaliwa online, sawa nimeingia account yao sasa wakati najaza maelezo ya mtoto nikakuta hakuna kuchagua inchi bali ni watoto waliozaliwa Tanzania tu, sasa hapa nifanyeje?
Anaejua tafadhali
Natanguliza asante nyingi
Huyo mtoto ni Mkenya kwa kuzaliwa itabidi umuombee uraia wa Tanzania kwa kuandikishwa,na mama alienda kujifungulia Kenya kwa lengo maalumAkili ya kusema uongo?
Nitasema ukweli daima, uongo kwangu mwiko
Omba cheti cha kuzaliwa huko Kenya.Asante ila bado hujanisaidia, naona kama umenisimanga tu
Asante sanaOmba cheti cha kuzaliwa huko Kenya.
Hapa bongo atakuwa anakitumia sehemu zote zinazohitajika hadi atakapofuka 18.
Mimi binafsi sijawahi experience husumbufu huko mashuleni. Nina mtoto anatumia cheti cha nje. Relax kachukue cheti chake Kenya
Na zawadi nimekuleteaWe chawa kumbe ulikua Kenya ndo maana tulipumzika humu
Sawa mkuu, na ikawe hivyoMjazie mkoa wa Tanzania ili atakapotaka kuja kuwa kiongozi mkubwa kwa maana ya Rais wa nchi asijekuletewa zengwe na kuondoshwa.
Kwa hoja yako hiyo basiNimejaza form, ila nimeshinde
Yes ni dhambi kuongopa, ningeweza kutengeneza tangazo hospitali yeyote ile then nikatoa chetu kirahisi, ila kiukweli ningekuwa nimemdhulumu sana mtoto, baadae akikua atakuwa anasema uongo maisha yake yote, kwani akiulizwa atasema nimezaliwa tz wakati ukweli ni amezaliwa kenya
Okey,RITA ni mamlaka inayojishughulisha na usajili wa vizazi na vifo, vinavyotokea ndani ya mipaka ya Tanzania.
Mtoto wako aliyezaliwa Kenya anapaswa kuwa na cheti cha kuzaliwa cha Kenya.
RITA hawana mamlaka ya kutoa cheti cha kuzaliwa cha Tanzania wakati mtoto amezaliwa Kenya.
Kwa kuwa wewe ni mtanzania wakati mama yake ni mkenya, mwanao ana hadhi ya kuwa na uraia wa nchi mbili hadi pale atakapofikisha miaka 18, atapowajibika kuukana uraia wa nchi mojawapo kati ya hizo mbili.
Kwa sasa mtoto wako kama yupo hapa Tanzania atapata huduma zote za kijamii kama mtu mwenyewe uraia pacha mwenye cheti cha kuzaliwa cha Kenya kama nyaraka muhimu itakayotumika kuamua uraia wake siku zijazo.
Eti unasimamia ukweli? Kumbe huhitaji cheti wewe unatafuta sifa.Hapana, hilo sikushindwa kufanya ila nasimamia ukweli
Hahaaaa....jamaa anatafuta sifa ambazo hata hazina msaada kwa mtoto na yeye mwenyeweKwa hoja yako hiyo basi
Mtoto ni mkenya kwahiyo cheti cha kuzaliwa kaombe Kenya na pia huku Tanzania fanya process za Idara ya Uhamiaji halafu ndo uje uende Rita huo ndo ukweli.!
Kwa Tanzania kwa mtu ambaye siye raia ananzia Uhamiaji kwanza halafu Taasisi nyingine ndo zinaendelea.!
Wadau walikuwa wanakurahishia tu Maana Mtoto ni mdogo hajui chochote na huko Kenya kaenda kuzaliwa tu na hapajui na wewe unataka ulingishie/Utambe(Sifa) Uonyeshe mtoto kazaliwa nje ya Nchi kwenye cheti na Document nyingine.!
Hapana hayo ya kulingisha na kujidai mie sina, muhimu mwanagu apate vheti cha kumtambulisha kama mtanzania kwa kuwa mie baba yake ni mtanzaniaKwa hoja yako hiyo basi
Mtoto ni mkenya kwahiyo cheti cha kuzaliwa kaombe Kenya na pia huku Tanzania fanya process za Idara ya Uhamiaji halafu ndo uje uende Rita huo ndo ukweli.!
Kwa Tanzania kwa mtu ambaye siye raia ananzia Uhamiaji kwanza halafu Taasisi nyingine ndo zinaendelea.!
Wadau walikuwa wanakurahishia tu Maana Mtoto ni mdogo hajui chochote na huko Kenya kaenda kuzaliwa tu na hapajui na wewe unataka ulingishie/Utambe(Sifa) Uonyeshe mtoto kazaliwa nje ya Nchi kwenye cheti na Document nyingine.!
Hivi kuzaliwa kenya ni sifa? Mbona kenya ni wachivu kuliko hapa? Ni kwamba mama yake ni mkenya ndio akaenda kuzalia kwaoEti unasimamia ukweli? Kumbe huhitaji cheti wewe unatafuta sifa.
Mwamba tulia Mtoto tu Alipozaliwa ndiyo kwenu. Huyo Mkenya Mwamba.Mwanangu amezaliwa Kenya na mama Mkenya ila mie ni Mtanzania alienda tu kwao kujifungua sasa amerudi home leo ni mwaka mmoja tayari,
Nimeenda rita wamesema siku hizi unaomba cheti cha kuzaliwa online, sawa nimeingia account yao sasa wakati najaza maelezo ya mtoto nikakuta hakuna kuchagua inchi bali ni watoto waliozaliwa Tanzania tu, sasa hapa nifanyeje?
Anaejua tafadhali
Natanguliza asante nyingi
Wewe acha kukaza jugula. Sajili mtoto kama mtanzania vinginevyo kama unasimamia ukweli kwanini usiende kumchukulia cheti Cha kuzaliwa Kenya. Utaingia gharama kwa kukaza fuvu, nenda uhamiaji wakupe taratibu maana naona huelewi.Hivi kuzaliwa kenya ni sifa? Mbona kenya ni wachivu kuliko hapa? Ni kwamba mama yake ni mkenya ndio akaenda kuzalia kwao
Documents zitakazofuatia ndizo zitakazoandikwa kuonyesha kuwa kazaliwa Kenya,.... kitambulisho cha taifa na pasi ya kusafiria ndio vitakavyoonyesha. Cheti cha kuzaliwa ni uthibitisho wa mahali ulipozaliwa na husajiliwa alipozaliwa, hakitolewi zaidi ya mara moja.Okey,
lakini kwanini asipewe hapa cheti na kiandikwe kuwa amezaliwa kenya na mama mkenya ila baba ni mtanzania?
Na je, nikitaka kumuombea passport book sasa hivi atweza kupewa?