Anayejua Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli alimaanisha nini aliposema haya atusaidie

Tatizo ni wale wanaofikiri Rais Samia hawezi kufanya vizuri zaidi ya Watangulizi wake hata pale alipofanya vizuri bado hawataki umlinganishe na yeyote ila asimame yeye kama yeye jambo ambalo kwenye "Comparative advantage linakataa,

Watu wanaona kumlinganisha Hayati Rais Magufuli na Rais Samia na Rais Samia akashinda eti huko ni kumsema vibaya Hayati Rais Magufuli najua wanahitaji elimu kama hizi,
Upo sahihi mkuu, ndio maana ukiangalia nchi kama USA maraisi wao wapo wengi na kila mmoja anamchango wake na mapungufu yaliyopelekea wao kufika hapo walipo leo, tutafika tu isipokuwa ni muhimu kila zama ikaweka takwimu zake bayana na yote hii ni kwa manufaa ya vizazi vijavyo kujifunzia.
 
Naungana nawewe kwenye hili 100% reference is the always
 
Men lie women lie but numbers don’t lie… Magufuli alilijia hili vizuri sana na ndio maana alihakikisha hesabu zake zinasomeka kwa watanzania wengi, takwimu ndio zinaweza kukubeba ama kukuzika nadhani ndio maana hakucheka na nyani (professor Assad) alipotaka kuchezesha takwimu za utawala wake, Namba zisipozingatiwa ama kuchezewa inakuwa ni business as usual.
Unamfananisha Prof Assad na Magufuli kweli?
Hivi CV ya Assad unaijua hata kidogo? Uadilifu wa Assad unaweza kufananisha na wanasiasa wa kiafrika kweli?
Muogope Mungu unapopiga propaganda.
Assad hayupo group la wanasiasa kama Magufuli au Ndugai, yule ni Professional mwenye ethics zake.
 
Hapa nakataa, pengine upo CCM lakini sio jikoni, kila chama lazima kiwekeze kwenye kitengo cha propaganda. Iwe ni offline ama online, twanga kotekote is a must.
Mimi ni mwanachama tu wa kawaida mwenye mapenzi na nchi yangu na Rais wangu basi,
 
Unamfananisha Prof Assad na Magufuli kweli?
Hivi CV ya Assad unaijua hata kidogo? Uadilifu wa Assad unaweza kufananisha na wanasiasa wa kiafrika kweli?
Muogope Mungu unapopiga propaganda.
Assad hayupo group la wanasiasa kama Magufuli au Ndugai, yule ni Professional mwenye ethics zake.
Angekuwa na ethics asingelihangaika na wanasiasa, yule ni mwanasiasa tu Kama wengine kikubwa ajitanabaishe Kama wenzie maisha yaendelee.
Kwani Assad ni Profesa wa kwanza au CAG wa kwanza? Uttoh was the best hajawahi argue na wanasiasa kwakuwa alikuwa na akili timamu sio huyo Assad ambae baada ya kitumbua chake kuungua huko NSSF kwa DAU akaanza makasiriko.
Mwambie aingie siasani kwa uwazi ili akutane na wanasiasa wenzie.
 
Namba tangu lini inatafsida wee mtu?

So far mimi sijawahi kusifia Mtu hapa zaidi ya kueleza fact tena with a vividical evidence
Hizo namba zenu za porojo na mama yako zisizo na uhalisia ndio zinakufanya usifie usiku na mchana..
Kwani lumumba dau si wameshakupandishia?
 
Back
Top Bottom