Halafu utakuta watu wamejazana kwenye hayo makanisa kuna wakati unawaza na kufikiri hivi akili zao huwa zimechukuliwa kiasi au hawaoni tofauti? Makanisa ya biashara yamekuwa mengi bora kuendelea kusali RC Anglican Lutheran Sabato haya makanisa mengine ni kujiongezea ujinga.