Anavyofanya huyu Mchungaji ndivyo Mwenyezi Mungu na Yesu Kristo wanavyotaka au walivyoagiza?

Kwani Yesu alikuwa masikini?

By implication hakuwa maskini lakini mission yake ilikuwa kwa ajili ya maskini.Kwamba wasiojiweza nao wapate Faraja.Waonje utamu Wa uumbaji Wa Mungu.Kwamba watoke katika kuminywa minywa.Sasa wewe ukiwa unaweka madaraja ya watu namna ya kuketi wakati Wa kuongea na Mungu unakuwa una-potray mission ipi?
 
Hata mie nashangaaga sana inakuaje watu wamepangwa kulingana na uwezo wao????
 
Halafu utakuta watu wamejazana kwenye hayo makanisa kuna wakati unawaza na kufikiri hivi akili zao huwa zimechukuliwa kiasi au hawaoni tofauti? Makanisa ya biashara yamekuwa mengi bora kuendelea kusali RC Anglican Lutheran Sabato haya makanisa mengine ni kujiongezea ujinga.
 
Back
Top Bottom