Anaupiga Mwingi: Wakulima wa Tanzania sasa ruksa kushindana kwenye Soko la Kenya kwa Fair competition!

Bajeti ya Serikali ya Kenya 2024/25 imeruhusu mazao ya Kilimo kutoka Tanzania kupata Ushindani wa Haki kwenye Soko la Kenya

Kwa awamu zilizopita pamekuwepo na ugumu kwa wakulima wa Tanzania kuuza mazao yao Kenya

Mungu wa mbinguni awabariki Rais Samia na Rais Ruto

Kamwene 😃😃
Unawajua Wakenya unawasikia? Yaani wawe na chakula cha kutosha waruhusu Watanzania mpeleke mahindi kushindanosha bei?
 
Bajeti ya Serikali ya Kenya 2024/25 imeruhusu mazao ya Kilimo kutoka Tanzania kupata Ushindani wa Haki kwenye Soko la Kenya

Kwa awamu zilizopita pamekuwepo na ugumu kwa wakulima wa Tanzania kuuza mazao yao Kenya

Mungu wa mbinguni awabariki Rais Samia na Rais Ruto

Kamwene 😃😃
Mbona wananunua vitungu Singida, na mchele Malinyi na wanaenda kuuza South Sudan na nchini Kwao. Sasa kipo kilicho badilika
 
Lakini watanzania tukiona mahindi yanaondoka sana tusishindwe kuzuia ya kwetu kwa ajili ya chakula chetu, tuuze kwa mizania maalum,bila kusababisha price shakes, ndani ya nchi, that is intelegency! And good leadership!
 
Bajeti ya Serikali ya Kenya 2024/25 imeruhusu mazao ya Kilimo kutoka Tanzania kupata Ushindani wa Haki kwenye Soko la Kenya

Kwa awamu zilizopita pamekuwepo na ugumu kwa wakulima wa Tanzania kuuza mazao yao Kenya

Mungu wa mbinguni awabariki Rais Samia na Rais Ruto

Kamwene 😃😃
Wakenya na wao watafika mahali wataichoka hii serikali yetu inayoyumba kimsimamo, mara wafungue mipaka mara wafunge.....Mkulima aruhusiwe kuuza mazao yake mahali popote mambo ya njaa mtajua wenyewe ninyi msiojua uchungu wa shamba.
 
Back
Top Bottom