Anataka tuachane, nifanyeje?

ili uweze kusaidiwa ni budi ukawa muwazi zaidi. Naona unatafuta ushauri kwa watu ambao hawajui hata chanzo ni nini!! Siamini wazo la yeye kutaka muachane likikuja kama radi. lazima kuna viashiria vingi vilikuwepo kabla ya tamko rasmi.
Hata hivyo pole ni wakati wa kujiangalia wewe kama wewe ili jambo hili lisijirudie huko mbeleni.
 
kaka yy hajatoa sababu yoyote.
 
wewe mwenye pic hapo ndo unataka uachwe au ndo unataka umuache mwenzio?mpz yanauma.hapo huna chako angalia maisha yako songa mbele,kuna 7bu nyuma ya kauli ya mpz wako.utaijua tu ukifatilia vzr,huu ndo ukweli.Fanya maisha yako.by the way Uzi wako ungepeleka jukwaa LA mapenzi.labda umechanganyikiwa.pole

Na ili nijukwaa la nini kumbe????
 
Ni mpenzi wangu kwa muda wa miaka mitano sasa!!! Nampenda sana tena sana. Juzi kapiga simu akasema ana mazungumzo na mimi. Jana kasema tuachane, nilipouliza sababu hakunipa.

Inaniuma sana tena sana coz nilikuwa nimewekeza kwake 100%. Naombeni pakuanzia jamani,nifanyeje?
Mwache aende utaendelea kumlilia hadi lini??
 
choma moto gethoo lake muibie baadhi ya vitu si usema umewekeza kwake baada ya hapo atakutafuta tu hapo ndo utajua kuwa anakupenda kuliko ww unavyompenda...fata ushaur huu umesaidia wengi
Achome geto!!!
 
Ni mpenzi wangu kwa muda wa miaka mitano sasa!!! Nampenda sana tena sana. Juzi kapiga simu akasema ana mazungumzo na mimi. Jana kasema tuachane, nilipouliza sababu hakunipa.

Inaniuma sana tena sana coz nilikuwa nimewekeza kwake 100%. Naombeni pakuanzia jamani,nifanyeje?
Njoo kwetu sisi tukupe ile kitu uipendayo,acha kuwekeza kwa watu wasiojua kupenda.
 
Afadhali huyo amekuwekea wazi kuwa muachane, kuna wengine atakuchuna huko pia ana wapenzi wengi pia. Japokuwa wengi wanasema uachane nae lakini najua sio rahisi kihivo. Maumivu ya penzi mpk yaishe utakuwa umeumia moyo Sana na alieko nje anakuona km unafanya upumbavu kumwaza mtu aliekuacha. Itakugarimu miezi kadhaa hivi au mwaka kusahau na siku ukisahau usirudie kumweka mtu moyoni tena atakuumiza tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom