Anataka kumuacha kisa ufupi

Namsikitikia sana huyo dada ...angalia karma itakavyomtafuna...amuache mkaka wa watu na anampenda kwa dhati ataumia,
Huyo dada ataenda kutafuta wa saizi yake kwa kimo, karma itakataa, wanaume wote watakaokuja watakua wafupi, ama anaaeza kupata mrefu, ama wa saiz yake kwa urefu, lakin wakazaa mtoto ambae atakua mfupi na watoto wao watakataliwa hivo hivo ...lakin yote ni maumivu ya kijana aliekupenda kwa dhati ukamuacha sababu ya ufupi ambao.ni uumbaji wa Mungu na Mungu alivomaliza uumbaji aliona kitu ni kizuri machoni pake kwaio pamoja na ufupi wake lakin ana uzuri wake
Vitu vingine tunajitafutia shida wenyewe.
 
Mkuu
do you believe in karma ?
 
Fantasy hizi kazi kweli. Me nikikapata kaandunje kangu kakuendana na mimi hehe , ntajishaua nako kama sio mie niliyekuwa namdream a "tall and dark man" lol

Ni kuangalia tu ni kitu gani cha muhimu zaidi kwako. Kuna vitu kwenye mahusiano ni lazima kucompromise, sasa mtu apime tu anachoona kina-worth kucompromise. Asije akaolewa na mrefu afu akaanza kulalamika huyu mume sijui blah blah (hana features kama za huyu mfupi). But again kama ni kitu ambacho hawezi kucompromise aache tu, Asije akaolewa na kaka wa watu afu hata kuongozana naye hataki (she can't publicly acknowledge him kwamba ni mumewe). Kuishi na mtu asiyekuvutia mmmh. Though i think it's better kuangalia features ambazo ni za long term (IMO)
 
hawajawahi kuduu...ni kweli the guy ni mfupi ukimwona
Hii ilimkuta jamaangu demu wake nilikuwa naongea nae akanambiaa hawez kuendelea na mchiz kisa mfupi demu alikuwa mrefu na figure nzur ilaa alikuwa ndo kamalza chuo yupoyupo tuu jamaaa anamkwanja mrefuu na anampendaa demu hatar ilaa mfupi demu alimwachaa sio kuwa na mtu mwingine ila ufupi tuu alikuwa hajiskii oky kuwa na boy mfup
 
hadi huruma mmh
 
Back
Top Bottom