Anatafutwa anayeuza au mahali wanapouza submissible water pump 1.5hp na capacitor yake ya ndani

Murashani GALACTICO

JF-Expert Member
Feb 27, 2012
2,485
5,334
Nimekuja hapa kuuliza bei na mahali wanapouza SUB MISSIBLE WATER PUMP 1.5HP maana yangu imeungua CAPACITOR YA NDANI

Nipo MWANZA

images (11).jpeg
images (16).jpeg
 
Weka location ya duka lako au unauza bei gani pump na capacitor hapa jukwaan unaweza nishawishi mimi na watu wengine wanao hitaji
 
Back
Top Bottom