Anasema Hanipendi Nilivyo, Ila Kwasababu Namufikisha Kileleni Basi Ndio Sababu ya Kuwa na Mimi

We jamaa una nguvu sana kumfikisha demu wako kileleni ndo hataki kukuacha.!!mlima gani huo huwa unambeba mpaka kileleni kisha unamshusha..!!?na sisi tuwabebe wake zetu.
 
Hapo ndiyo muamini mwanamke haridhiki hata ufanye nini, ungekuwa uanakata pochi la kufa mtu angedai humtii ipasavyo, wamtia ipasavyo anadai kuna mengine humridhishi! Kichwa chauma kabisa...
 
Ndoa siku zote mmoja ampende mwenzake na mmoja aridhie we jitahidi kumfikisha kilelen tu
 
Mkuu huyo shoga yake anataka umtekenye na yeye... Ndio maana anamwaga mboga ili umwage ugali
 
jamano jf kuna mengi khaa!! sasa nomba kuuliza siku ukishindwa kumfikisha atakuvumilia au atatafuta wa kumfikisha,?

utakapomuoa jiandae kwani atamtafuta atakayempenda na wew utakuwa mume mfikishaji kwa kilele tu
 
Ni vizuri ungeshare unafanyaje.....maana ni tatizo hilo...
 
Nawaza tu mlikua nmaongea nini na huyo shosti hadi afikie hatua ya kukwambia hivyo,isijekua anajipigia pande yeye
 
Hivi tamaduni za hawara yako kumpa hadhi ya uchumba ni za kabila gani?
Yaani mwanamke upige nae umalaya umwite mchumba!
Kanuni za uchumba unazielewa?
Kama kila linalokuijia kichwani na kukupendeza unaona lafaa kutamkwa, kwanini basi usimuite mkeo kabisa? Ni kitugani unachositia kumuita hivyo?
Vijana badilikeni
 
Ivi unaweza kua na MTU bila kumpenda,awa wanawake bhana hatari sana ..too selfish!
 
Heheheeeeeeee dunia ina mengi
Huyu hivi yule vile

Cc Smart911
Mahondaw..Naomba Jaribu Siku moja moja uandike Ujumbe bila kumtaja smart.Tunajuaaaaa ni MTU wako you don't have any reason ya kuprove anything..Labda kama una hamu Aibiweeee!!!!!!
 
Sijui kama mmegunduaa.Mnaboaaaaa
 
Mi najua huyo mwanamke hawezi kukuach hata ukose pesa sababu hiki ndo kitu wanawake wengi hukisikia tu na kukitamani tukiachilia mbali pesa
 
Acha kusikiliza umbea utakukosesha mke mwema. Si kila rafiki anafurahia kuwaona mna furahia na penzi lenu.

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…