mwangangafyelile
Senior Member
- Apr 10, 2017
- 166
- 204
We jamaa una nguvu sana kumfikisha demu wako kileleni ndo hataki kukuacha.!!mlima gani huo huwa unambeba mpaka kileleni kisha unamshusha..!!?na sisi tuwabebe wake zetu.By darasa la Mapenzi
Wakuu nimekuwa na Mchumba wangu takribani miaka miwili sasa, Nikiwa katika hatua ya kukataa shauri nimuoe kabisa nimweke ndani nikapenyezewa kaumbea kutoka kwa shoga yake kuwa huyu mchumba wangu kamwambia kuwa hanipendi nilivyo ila sababu ya kuwa na mimi muda wote huo ni kwasababu namfikisha kileleni ipasavyo kitu ambacho amekikosa kwa wanaume wote ambao amewahi kuwa na mahusiano nao...
Sasa Je Kweli Mwanamke wa Hivyo Napaswa Kumuoa ? Naombeni Ushauri