Ananilazimisha nimtongoze binti yake mlokole

Je huyo binti unampenda ? Na wewe una mpenzi ? Kama unampenda mrembo huyo na huna mpenzi why not ukawa nae
Mpenzi ninae ila kuna sifa zinapelea kwake ukimlinganisha na uyo, na uyo binti ni mzuri ana kila sifa ya kupendwa na yeyote ila sikumpenda before kutokana na tibia zake za kilokole pia nimekuwa kama family friend wao wananiona kama kaka yao
 
Hapana tatizo ananiitaga kaka tumezoeana hivyo ukichanganya na ulokole wake sijui nianzeje na uku mama yake kaniganda
Ulitakiwa na hili swali ili liwemo kwenye thread yako ili wanaume wenzio nao wakushauri uanzeje.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Nkimpoteza sijui huyo mama atanifikiriaje
Tumia hata mbinu ya kumwambia mpenzi uliye nae anafahamika kwenu nawe unafahamika kwao maana ni kosa kubwa kuumiza hisia za mtu,maana huyo binti mlokole si kwamba anakupenda bali ni ushawishi wa mama lakini mpenzi wako anakupenda ingawa inaweza kuwa kwa asilimia chache
 
Watu wengine hopeless kabisa,yaani uko wewe na goli tu kipa ushamwacha nyuma alafu bado unajiuliza utafungaje goli.piga shutiii
 
Back
Top Bottom