hahaahaYale yale ya MPAKWA MAFUTA
umeonaeeeWakati wewe unasikitika mwenzako anacheka na kufurahia lengo lake limetimia na akaunti inanenepa tu.....Kuna muda hutakiwi kuumiza sana kichwa kwa watu wanaojiita 'comedian'.
nadhani angemuuliza mwenzie joti usumbufu anaoupata toka kwa wanaume wanaomsumbua na kumtongoza kila uchao wakiamini kuwa ni mwanamme shoga...na hivyo wanataka kumuonja kimapenzi...kwahiyo mwanamme unajikuta unatongozwa daily !Mmh sanaa hizi zitaua watu,pesa inatafutwa kwa mbinu zote. Eric omond ndani ya style ya Joti full make up na mavazi ya kikeView attachment 516754
Ndio kazi aliyochagua jamaniKhaa hata kama ni kutafuta mkate wa kila siku sio hivyo aisee...
Too muchMmh sanaa hizi zitaua watu,pesa inatafutwa kwa mbinu zote. Eric omond ndani ya style ya Joti full make up na mavazi ya kikeView attachment 516754
AseehNdio kazi aliyochagua jamani
Yale yale ya MPAKWA MAFUTA