Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,121
- 16,104
Mbona Kama haupendi mwenzako apate, dukani ninaweza nikaleta bidhaa ambazo haziingiliani na za kwako, sie Sasa ndivyo tunavyokuwa, Kuna bamdogo aliuza duka la kaka yake akawa analeta za kwake ambazo haziingiliani na zile , yaani hii chains ndivyo inavyokuwa, mfano wewe una ng'ombe mie naamua kufuga kuku, Bata, Kanga, ama mbuzi wa nyama.Mkuu ukiajiriwa kuuza duka nawewe utawekamo bidhaa zako mle mle dukani? Au waalimu wana ruhusiwa kuanizasha shule palepale anapofanyia kazi?
Unakuta ng'ombe wako wananenepa na kuzaliana shida yako Iko wapi, mbona Kuna madereva wa hiace na wao pia wanamiliki hiace wanaajiri mwenzao dereva na boda wanawapa vijana so wewe unapenda mtu adumae na kazi yako akija kutoka hapo hana pa kushika, duu , Sasa utakuwa unamlipa nini ambacho na yeye akija kuzeeka kimsaidie ama unataka kuja kufa kwa njaa. Wewe ni selfish creature ever existed in this planet