Anahitajika mtu mwenye familia kusimamia mifugo (ng'ombe) Iringa, Malangali kijijini

Kumi4

Senior Member
Nov 4, 2021
101
106
Wakuu habari za nyakati hii, nashukuru kwa mliojitokeza kwenye matangazo yangu ya awali ila kwa leo nina uhitaji na mtu wa kusimamia Ng'ombe mkoani Iringa, kijiji cha Malangali, nyumba ya kuishi ipo tayari na chakula kipo pia sharti tu awe ni mtu na familia yake ili wakifika wafanye makazi ya kutulia, anahitajika mtu kutoka Shinyanga au Mwanza, kama unafiti vigezo hivi nicheki kupitia 0653828027.

Nyongeza ya tangazo hili:
Atakae kaa hapo nyumbani kwa muda wa Mwaka mmoja atapewa Ekari moja ya kulima ambayo atalimiwa bure na mazao yote ni ya kwake, mshahara ni 60,000 kwa mwezi
 
Wakuu habari za nyakati hii, nashukuru kwa mliojitokeza kwenye matangazo yangu ya awali ila kwa leo nina uhitaji na mtu wa kusimamia Ng'ombe mkoani Iringa, kijiji cha Malangali, nyumba ya kuishi ipo tayari na chakula kipo pia sharti tu awe ni mtu na familia yake ili wakifika wafanye makazi ya kutulia, anahitajika mtu kutoka Shinyanga au Mwanza, kama unafiti vigezo hivi nicheki kupitia 0653828027
We mshamba wa kisukuma unaleta ukabila ktk nchi ya watu? Jinga kabisa. Imetoka zako huko usukumani umepokelewa Iringa bila kubaguliwa Ila we unàbagua wenyeji, nyie ni hatari kwa ustawi wa nchi hii
 
Chukua mmasai weka na vijana wa kutoka kigoma wenye asili ya kirundi
 
We mshamba wa kisukuma unaleta ukabila ktk nchi ya watu? Jinga kabisa. Imetoka zako huko usukumani umepokelewa Iringa bila kubaguliwa Ila we unàbagua wenyeji, nyie ni hatari kwa ustawi wa nchi hii
Ungekuwa ni mimi hata wewe ungejipiga vita.
 
Back
Top Bottom